Kwenye uchaguzi huu, niliyoyashuhudia ni makubwa.
Nasema tena poleni sana viongozi wa upinzani mnawapigania Watanzania wasiojielewa hii inatokana na mifumo aliyoiweka Mwl. Nyerere. Kuna madudu...
Wapendwa, hadi kufikia muda huu naona kama kuna dalili kubwa sana ya Chama cha Mapinduzi kushinda kwa kishindo kikubwa. Haijalishi kama ushindi umepikwa au ni maamuzi ya wananchi ila kwangu...
Kwasasa ni dhahiri CCM imedhamiria kushinda majimbo yote ya uchaguzi Tanzania Bara uwe ushindi halali au haramu. Hii ina maana kuwa lolote atakalotaka rais Magufuli pamoja na serikali yake...
Kumekuwa na wimbi la kuhama Hama la viongozi mbalimbali especially madiwani na wabunge wa chadema!kwa visingizio mbali mbali kubwa kuliko ni kuunga juhudi za mh raisi ama tuhuma za ukanda na...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Nchi yetu ni moja ya nchi inayopkea misaada na mikopo mingi kutoka nchi wahisani na mashirika ya fedha ya kimataifa kuendeshea miradi na shughuli mbalimbali za maendeleo hapa nchini.
Fedha...
Aliyekuwa Naibu Spika wa Bunge lililopita, Dkt. Tulia Ackson, kupitia CCM ametangazwa kuwa mshindi wa Ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 75,225.
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka...
Nawapa pole sana viongozi wa upinzani Tanzania, kama Akina Lissu, Mbowe, akina Mdee na wengineo sababu wanajitahidi kujitoa kuwapigania watu wasiojua nini maana ya upinzani, sabubu leo hii Mboe...
Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo.
PIA SOMA
= > Leo Mitandao ya kijamii Tanzania Bara...
#Upandachondichouvunacho: Makosa makubwa kwa viongozi wanaoomba kura kutoka kwa wananchi wa Tanzania kupewa uongozi wa kisiasa ni haya.
1. Kumshambulia mgombea mshindani kwa tuhuma...
CCM,Serikali imeshaanza kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi wa mwaka 2020. Hujajua bado? Amka fungua macho,tizama kwa makini. Kinachotokea sasa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa si cha bahati...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kilimanjaro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka...
2020-2025 CHADEMA itajengeka sana, makao makuu itakuwa na manpower ya kutosha. Katika kipindi hiki katibu mkuu hatakuwa mbunge ndg Mnyika hivyo ataconcentrate na kazi za chama pekee, Mwenyekiti...
Hili si jambo la kufanyia mzaha kabisa
Ni muda sio mrefu tumepata taarifa juu ya mauaji ya watu watatu huko Pemba na Kikosi cha Polisi.
Na hivi sasa vyombo vya habari vya kimataifa vimeanza...
Tulikotoka ni mbaali saana, tuendako ndio mbaali zaidi.
Tumekuwa na uchaguzi wa kila Baada ya miaka mitano tunachagua viongozi wetu Kwa mjibu wa katiba yetu na ni haki ya kila Mtanzania mwenye...
Baada ya tarehe 28 October, Tanzania hali ni shwari na yenye utulivu Watanzania tumemaliza Uchaguzi na Chadema wameshindwa Vibaya sana wamebaki kama Chauma.
Lissu nani alikudanganya kuwa...
Wasalaam...
Kwa furaha kabisa napenda kusema kuwa mimi nilikuwa PRO CDM au PRO Slaa kabla ya gia za angani kupanguliwa.
Nasikitika sana kuona Gia za Angani zilivyopelekea maafa makubwa ya...
Ukiacha Mambo mengine yote aliyoyafanya Rais Magufuli, kusema ukweli jambo lililo duwaza ulimwengu na kuwaacha midomo wazi ni jinsi alivyo pambana na ugonjwa wa Corona na hatimaye tukashinda kama...
Kuna nyuzi mbalimbali nimekuwa nikielezea mara nyingi dhana nzima ya uchaguzi na namna wapinzania wanavyochukulia suala la uchaguzi.
Binafsi nmekuwa nikisema bila kificho KWA KATIBA HII CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.