Uchaguzi 2020 Wapinzani mtafanya makosa makubwa kama mtashiriki uchaguzi huu bila kujitathimini na kuweka mambo sawa

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Katika makosa watayofanya wapinzani awamu hii ni kushiriki uchaguzi mkuu huu bila kujitathimini na kuweka mambo sawa yafuatayo

1. Je, bado wanakubalika na wananchi?

2. Je, wananchi bado wana imani wapinzani kushinda uraisi,ubunge na udiwani kutangazwa?

3. Je, idadi ya watu iliyojitokezaa kuwapigia kura 2015 itarudi tena?

4. Ikitokea mambo sivyo wameanguka mtawaeleza nini wananchi kushidwa kwenu au sababu ni zile zile?

5. Je, wananchi wana aminii kweli mnaweza kushinda uchaguzi huu?
 
Naona mpo kama misukule tu ya ccm hamjui hata maana ya hizi siasa ni nini.
 
CCM Embu tulieni. Yani Lissu kusema anarudi tu mnaweweseka hivi. Je akitua hiyo wiki ijayo itakuwaje?😂😂😂
 
Swali fikirishi je wapinzani wana uwanja sawa wakuongea na wapiga kura wao? kwanini CCM wanaogopa wapinzani wasipate nafasi ya kuongea na wapiga kura tafadhari usiwapigie ramli wapiga kura 'do not take people for granted'
 
Back
Top Bottom