Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari, Kuna watu wanajua ila wanajisahaulisha kuwa nchi za Magharibi ndizo zinazotusogeza mbele au kutusapoti kwenye sekta ya Afya na Elimu kwa kiasi kikubwa. Hii iko wazi miaka na miaka. Watu...
23 Reactions
55 Replies
4K Views
Siku chache mara baada ya Tume ya Taifa ya uchaguzi kumzuia kufanya mikutano ya hadhara Mgombea Ubunge wa Jimbo la Vunjo ndugu James Francis Mbatia kwa ajili ya kampeni za kuomba kura, sasa ndugu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
BREAKING NEWS: Adhabu iliyokuwa inamkabili mgombea ubunge wa Jimbo la Vunjo na mwenyekiti wa chama ndugu James Francis Mbatia ya kutokufanya mikutano ya hadhara kwa ajili ya kampeni imetenguliwa...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
What is the way forward? Nimeamini aisee hii nchi ili ushinde lazima waamue wao. Mizizi ya nchi ya kidola imejichimbia sana.swali la kujiuliza kwa huyu engineer wa hii mipango hivi wote tukiwa...
1 Reactions
0 Replies
610 Views
Wana JF, Tunashukuru Mungu uchaguzi wetu umekuwa huru na haki. Sasa maisha baada ya uchaguzi yameanza rasmi. Neno linalotamkwatamkwa sana katika kipindi hiki cha maisha baada ya uchaguzi ni...
10 Reactions
26 Replies
3K Views
Kama umefatilia vizuri, nidhahiri nia ya chama tawala ni kuchukua viti vyote vya ubunge nchini. Fatilia uzuiaji wa mikutano kwa Wapinzani kwa miaka mitano, vyombo vya habari kufungwa midomo na...
5 Reactions
110 Replies
8K Views
Kama misukule wa CHADEMA waliomo humu ndo wanaakisi fikra za viongozi wao wa chama, basi mimi Ngabu nasema sitaki kabisa hao watu washike madaraka. Kwa nini nasema hivyo? Kwa sababu hawa...
46 Reactions
259 Replies
15K Views
Najiuliza sana na sipati jibu hivi kwa pigo hilo itakuwaje CHADEMA bila ruzuku itabaki moja tena! Ni kwa namna ipi itapata pesa za kulipa mishahara watendaji wake wa ngazi mbalimbali? Je, kama...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndugu zanguni kuna jambo lisilo na picha njema kwa taasisi yetu nyeti ya jeshi la wananch (JWTZ) lililotokea wakati wa kukabidhi kamisheni mpya. Rais wetu amekuwa akihubiri majukwaani kwamba yeye...
57 Reactions
204 Replies
23K Views
Hivi Ndugai au yeyote yule atakaye kuwa spika wa bunge atajisikiaje pale atakapoangalia kila upande bungeni hamuoni Mbowe, Sugu, Zitto, Lema, Heche na wapinzani wengine machachari? Hakika...
1 Reactions
0 Replies
784 Views
Salaam wakuu, Nmeshangaa kuona CCM Wakimpongeza mgombea Urais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi. Je, wamejuaje atashinda? Uchaguzi wa Tanzania ni kiini macho
6 Reactions
42 Replies
5K Views
Salaam Wanajukwaa, Kwanza niwape pole na pongezi nyingi kwa kumaliza zoezi la upigaji wa kura salama bin salimini na sasa kilichobakia ni kusubiria kile alichopanda mtu ndio atakachokivuna...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
TANGA: Mawakala wa CHADEMA, ACT-Wazalendo, CUF na NCCR-Mageuzi wakamatwa baada kuzuia wapiga kura kuingia kituoni kwa madai ya wao kutopewa barua Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Blasius Chatanda...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
WanaCCM wezangu tujipongeze kwa matokeo mazuri tunayoendelea kuyapata katika viti vya Ubunge na Udiwani. Kikwazo kikubwa kilichotuumiza kwa muda mrefu sasa tumekimaliza rasmi, kilichopo mbele...
3 Reactions
4 Replies
889 Views
Zanzibar maeneo ya Nungwi inasemekana hali imekua sio nzuri, kumechafuka yaani risasi na mabomu yanarindima, hii ishu ilianza baada ya adhana kulia saa 11:06 ambayo sio muda maalumu wa adhana...
3 Reactions
25 Replies
5K Views
Poleni wapinzani na niwapongeze kwa kutufanya ccm tupoteane humu ndani kiukweli nadiriki kusema nyie ni mashujaa wa kampeni na hatuta wasahau Ila tupo kwenye maandalizi ya sherehe na tutawarika...
1 Reactions
4 Replies
812 Views
Wakizungumza leo asubuhi, Wafanyabiashara wachache waliokutwa katika maeneo yao ya biashara, bila kufungua maduka ama vitalu (vibanza) vyao ndani ya soko kuu la Zanzibar, Marikiti, wafanyabiashara...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu ndani ya Jamii forums. Wageni kwa wenyeji ni vema tukajiandaa kabisa kisaikolojiia na ikibidi kuweza kabisa kuanza mchakato wa kuwa na plan B. Kadiri fukuto la uchaguzi mkuu linavyoanza...
49 Reactions
265 Replies
31K Views
Wanabodi,Mimi ni muumini wa nchi ifungwe yaani ifungwe sehemu( Partial lockdown) au ifungwe yote ( Total lockdown).Niliamini hayo baada ya china kufanya hivyo katika mji wake wa wuhan Niliamini...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…