Nafuatilia utangazaji wa matokeo kupitia runinga pendwa ya EATV na hadi sasa matokeo ya majimbo 20 yameshatangazwa na yote yametwaliwa na CCM.
Kwa ufupi mtangazaji anasema hadi sasa Upinzani...
Leo akichangia hoja bungeni ,Mbunge wa CHADEMA aliyefukuzwa uanachama kwa kukiuka maadili ya chama David silinde ameyasema haya leo bungeni
"Rais Magufuli ni mwamba na tunamkubali,lengo letu la...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka Zanzibar. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
ORODHA RASMI YA WAGOMBEA...
Wakuu Salaam:
Mawakala hua ni sehemu ya uchaguzi katika kuhakikisha upigaji na utaratibu wa kuhesabu kura unaenda kwa Uhuru na Haki.
Mawakala wa Chama husika wanatakiwa kuhakikisha kura...
Mihemko yake imefanya watu wamshughulikie kwani ameonesha wazi wazi nia ovu dhidi ya nchi yetu.
Amewatukana wananchi kwa kubeza miradi ya vituo vya afya, elimu, maji, barabara, bandari nk...
Huwezi amini nimepita kwenye media zote, kwenye mitandao ya kijamii.
Kila account ya MwanaCHADEMA wameweka matatizo yao pembeni wanazungumzia CCM chama dume.
Kufuatia mkutano wao mkuu...
CCM inakwenda kukamilisha kazi mpaka muda huu Lissu amebaki kupiga kelele na kuvuta pumzi za mwisho kabla CCM haijatangazwa mshindi wa kishindo,makamanda wamekazana kulalamika twitter tu...
Poleni kwa kuzimiwa internet.
Nirejee kwenye mada yangu,Je watanzania wanaweza kweli kupigania kuikomboa nchi toka kwa mkoloni mweusi huyu. Kila siku tumekuwa tukiona matukio mengi ya uonevu...
Kwa jinsi uchaguzi huu ulivyofanyika,kuna kila dalili Wahisani na Mashirika ya Fedha ya Kimataifa yatatutenga ukizingatia tumepuuza wito wa wahisani wa kuendesha uchaguzi ulio huru na wa haki...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mtwara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Kwa tetesi nilizopata kwa Jimbo la mbeya ambalo tayari CCM Walikuwa na mtaji wa madiwani 16 waliopita bila kupingwa mpaka usiku huu tayari wameisha shinda katika kata tano ambazo majuimuisho ya...
Jimbo la Ilala ni kati ya Clinton wa NCCR-MAGEUZI na Zungu wa CCM. Wakati tunaendelea na dakika za lala salama za kampeni Jimbo la Ilala lina mtifuano mkali kati ya hawa watu wawili, huku wa ACT...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mbeya. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Habari wakuu,
Kwa huu upepo wa uchaguzi mwaka huu pesa za kugharamia uchaguzi zinazotoka katika kodi zetu bora zitumie kuajiri vijana waliopo mitaaani toka 2015 au ziongeze mishahara tu at least...
Mapema leo, mgombea wa ubunge Arusha mjini kwa ticket ya CCM alikua anarudisha fomu yake kwa msimamizi wa uchaguzi Arusha.
Pamoja nae ameandamana na mgombea wa viti maalum bi Catherine Magige...
Habarini wanajamvi.
Bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Jana tarehe 28.10.2020 wakati wa upigaji kura tulishuhudia namba zetu za vitambulisho zikiandikwa kwenye karatasi za...
Jimbo la Moshi Mjini lililoko Moshi mkoani Kilimanjaro limekuwa chini ya CHADEMA kwa muda wa miaka 20, kuanzia mwaka 1995.
Katika Uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 Antony Komu...
Nitailinda na kuiheshimu katiba kweli! Wote tunaona wanayoyafanya, swali Ni je kuna haja ya hawa watu kuapa au mtu akishachaguliwa au kuteuliwa aingie tu mzigoni moja Kwa moja? Maana naoa kama...
Kwa muda mrefu sasa baadhi yetu humu tumekuwa tukizungumzia juu ya umuhimu wa uwepo wa tume huru ya uchaguzi.
Hiyo ni kwa sababu hii iliyopo sasa hivi baadhi yetu hatuioni kama ipo huru.
Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.