Zombi Mweusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 1,089
- 2,232
Poleni wapinzani na niwapongeze kwa kutufanya ccm tupoteane humu ndani kiukweli nadiriki kusema nyie ni mashujaa wa kampeni na hatuta wasahau
Ila tupo kwenye maandalizi ya sherehe na tutawarika kama hamtajari japo tutacheza staili moja ya ugumu wa maisha
Watani zetu wa jadi mlikosa mbinu sisi tukatumia SHIKWAMBI(shinda kwa mbinu)
Tutawaonea huruma baadae
Tutawapa wabunge wawiliView attachment 1615405