Salaam Wanajukwaa,
Kwanza niwape pole na pongezi nyingi kwa kumaliza zoezi la upigaji wa kura salama bin salimini na sasa kilichobakia ni kusubiria kile alichopanda mtu ndio atakachokivuna.
Nimeukumbuka wimbo wa Mbaraka Mwishehe unaoitwa jogoo la shamba hebu niwawekee lyrics kidogo:-
Kujitia mikogo na kudharau wenzio
Leo umefundishwa adabu na heshima
Haka kakipengele nimejikuta nacheka tu, ila kuteleza sio kuanguka endeleeni kujifunza kutoka kwa CCM.
Mwisho kabisa naomba mkisilize hiki kibao cha zamani kitawafariji sana.
Hongera CCM, HONGERA WATANZANIA.
Congratulations in advance President Magufuli.
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA