Zanzibar 2020 Je, CCM wameshajua Mwinyi atashinda? Wametengeneza nguo za kumpongeza

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Salaam wakuu,

Nmeshangaa kuona CCM Wakimpongeza mgombea Urais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi.

Je, wamejuaje atashinda?

Uchaguzi wa Tanzania ni kiini macho
1603722694152.png
 
Haya mambo ni planed ,ile Barua ya CCM juu ya shambulio la Mh Lissu nayo ilitokea kama hivi.Hawa Watu ni waovu sana na kwa Sababu wanajua wanayo Dola basi wanafanya tu na hakuna wa kuwaw wajibisha.
 
Salaam wakuu,

Nmeshangaa kuona CCM Wakimpongeza mgombea Urais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi.

Je, wamejuaje atashinda?

Uchaguzi wa Tanzania ni kiini macho
Umeshapigwa " SHIKWAMBI"

Kila siku tunawaeleza hamuelewi ccm itashinda iwe mvua au jua

Tumefanya siasa safi na bora nyumba kwa nyumba PLUS mbinu za kisasa na zilizoboreshwa zaidi

Laughing and I make loud noise ccm oyeeee
IMG-20201019-WA0007.jpg
 
Salaam wakuu,

Nmeshangaa kuona CCM Wakimpongeza mgombea Urais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi.

Je, wamejuaje atashinda?

Uchaguzi wa Tanzania ni kiini macho
NEC wako wapi kwa uvunjifu huu mkubwa wa utaratibu wa kujitangaza mshindi kabla ya uchaguzi?
 
Salaam wakuu,

Nmeshangaa kuona CCM Wakimpongeza mgombea Urais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi.

Je, wamejuaje atashinda?

Uchaguzi wa Tanzania ni kiini macho
ZEC haijawahi kumtangaza mshindi, ilibatirisha matokeo kwa kisingizio cha wajumbe kuvua mashati!
 
Hongera Dr Hussein Mwinyi, haijasemwa hongera ya nini, labda ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais wa Znz
 
Mahesabu yao ni kwamba hakuna kujali wingi wa KURA wao wameambiwa wamtangaze Mtalii
 
Back
Top Bottom