OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,153
- 103,585
Zitto Kabwe ameongeza
Jamani, mnaona chochote hapo!? Hakuna kinachoonekana! Watu wanabumba visingizio. PoleniView attachment 1614790
Chanzo: Zitto Kabwe
Sasa mmemaua kuingia vitongojini humo (remote areas) na kufanya yenu.View attachment 1614790
Chanzo: Zitto Kabwe
Sema jingineYani hiyo picha hapo ndio kithibitisho?
Mwambie Zitto Membe anamuita huku
Safi sanaSema jingine
CCM wezi wa kuaminika wanazidi kujichimbia kaburiVideo ninayo ila haiendi
Nina hasira sana mkuu basi tuSafi sana
Huyu Magufuli amejaa laana na dhambi. Yote haya hutendwa kwa idhini yake
Magufuli na phd yake anataka kuiingiza nchi kwenye machafuko, ila ngoja tutafika tuu