Ni kwa namna gani CHADEMA itakuwa moja tena bila pesa za ruzuku?

jitombashisho

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
667
2,242
Najiuliza sana na sipati jibu hivi kwa pigo hilo itakuwaje CHADEMA bila ruzuku itabaki moja tena!

Ni kwa namna ipi itapata pesa za kulipa mishahara watendaji wake wa ngazi mbalimbali?

Je, kama CHADEMA ilikuwa ikitegemea pesa ya ruzuku kuendesha mambo mengi/yake sasa itakuwaje?
 
Bora ife, natamani sana kuona ikifa. Wafuasi wa chadema ni watu wenye dharau sana
Dah! Siasa siyo uadui ndugu, halafu amini nakwambia mahali popote penye monopoly huwa hakuna maendeleo. Hizo Bomberdier sijui flyover umpata kwa sababu ya upinzani. Ngoja uone sasa radha ya bunge la chama kimoja.
 
Itakuwa Sawa tu, watu wake wengi wanajiweza
 
Najiuliza sana na sipati jibu hivi kwa pigo hilo itakuwaje CHADEMA bila ruzuku itabaki moja tena!

Ni kwa namna ipi itapata pesa za kulipa mishahara watendaji wake wa ngazi mbalimbali?

Je, kama CHADEMA ilikuwa ikitegemea pesa ya ruzuku kuendesha mambo mengi/yake sasa itakuwaje?
Jiulize kabla ya 2005 ilikuwaje moja?
 
Bora ife, natamani sana kuona ikifa. Wafuasi wa chadema ni watu wenye dharau sana
Chadema haifi, na wapinzani wa ccm ba serikali tutaendelea kuwepo hata msajiri akiifuta Chadema.

Tukipata upenyo mtaondoka tu.
 
Una uwezo mdogo sana wa kufikiria..

Hujajua nini maana vyama vya upinzani, hujui nini maana yachangamoto..

Bila ya challenge naamin hata ww usinge kuwa hapo.. Kwa maana ulijitahd kusoma sana ili wenzako wasikupite..

Imagine kama darasan ungekuwa peke yako, hayo yote ungeweza.. ??
Bora ife, natamani sana kuona ikifa. Wafuasi wa chadema ni watu wenye dharau sana
 
CHADEMA ina wanachama wengi sana, kuchangia kila mwezi c tatizo, chama kitaendelea kunawili kama kawaida
 
Tunapata sababu ya upinzani? Wakati kila siku wanazipinga, wakaenda mbali kushirikiana na yule mzungu ndege zikakamatwa.
Nasemaje, chadema ife ili tuheshimiane. Wana dharau sana hawa. Na ITAKUFA TU
Dah! Siasa siyo uadui ndugu, halafu amini nakwambia mahali popote penye monopoly huwa hakuna maendeleo. Hizo Bomberdier sijui flyover umpata kwa sababu ya upinzani. Ngoja uone sasa radha ya bunge la chama kimoja.
 
WanaCDM na wanao ona umuhimu wa upinzani watachangia. Viongozi wa Chama itabidi nao wafunge mkanda na kutafuta wahisani wa ndani na nje.
 
Chadema bora ife tu hakuna cha nini wala nini.
Watu wa chadema wana dharau sana
Una uwezo mdogo sana wa kufikiria..

Hujajua nini maana vyama vya upinzani, hujui nini maana yachangamoto..

Bila ya challenge naamin hata ww usinge kuwa hapo.. Kwa maana ulijitahd kusoma sana ili wenzako wasikupite..

Imagine kama darasan ungekuwa peke yako, hayo yote ungeweza.. ??
 
Najiuliza sana na sipati jibu hivi kwa pigo hilo itakuwaje CHADEMA bila ruzuku itabaki moja tena!

Ni kwa namna ipi itapata pesa za kulipa mishahara watendaji wake wa ngazi mbalimbali?

Je, kama CHADEMA ilikuwa ikitegemea pesa ya ruzuku kuendesha mambo mengi/yake sasa itakuwaje?
Beberu Amsterdam atawaletea pesa!
 
Mbowe ndio mnufaikaji mkuu wa ruzuku ya Chama huwenda ataathirika kw kiasi flani.
 
Mkuu wote sisi ni chama kimoja lakn umewai kujiuliza kwa nn watoto wetu wanasoma bure hata kama tunasomesha sisi privet school lakn sio kwamba ndugu zetu wote wanauwezo au tushangilia 7000 zetu
 
Back
Top Bottom