Jana tar.19,Juni,2019. Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania walitoa tahadhari ya uwepo wa tetezi juu ya tishio la usalama kwa maeneo ya Masaki na sehemu nyingine walizo taja.
Baada ya tahadhari...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Geita. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Kufuatia yanayojiri ndani ya nchi yetu, najiuliza tuna watumishi wa Mungu tena ndani ya nchi hii?
Au tuna viongozi wa dini tu?
Maadili yanapaswa kusimamiwa na nani? Nani anapaswa kumrudisha mwana...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Songwe. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Wana Jf Tujiulize haya,
Chama kikubwa kama chama cha mapinduzi(CCM) kwa nini hawajawahi kutueleza ruzuku yao inatumikaje? Mbona kila siku wanahoji ruzuku ya CHADEMA lakini hawatupi matumizi ya...
Kwa upande wa udiwani matokeo yaliyokwishatoka yanaonyesha CCM ikiwa mbele kwa kuzoa kata nyingi.
Hata ubunge hakuna Mgombea wa Upinzani aliyetangazwa kushinda hadi sasa na tayari kiongozi mkuu...
Hongera sana Lissu kwa kampeni nzuri kabisa zenye elimu ya Uraia murua kabisa.
Hongereni Sana wagombea ubunge wa Chadema na ACT kwa kazi nzuri mliyofanya mkiwa wabunge na kazi nzuri wakati wa...
Kama wote tulivyoshuhudia tangu siku ya kwanza maandalizi ya zoezi la upigaji kura, hadi sasa kinachoendelea ni kituko ambacho hata dunia huenda imepigwa butwaa.
Mawakala wa upinzani kufanyiwa...
Hoja yangu yaweza kuwa inasond crazy lakini pia natumia haki yangu kikatiba kutoa pendekezo hili. Iwapo Rais tuliye naye mpaka kufikia mwaka wa uchaguzi yeye na serikali yake watakuwa wameendelea...
Habari wana jamvi,
Wananchi wanateseka sana, wanasononeshwa na matatizo mengi hasa Maji na Barabara alisikika mwananchi akisema
"Huyu aliye itenda hii kanga yetu alikuwa kidume haswaa...
Askari zaidi ya 20, wakiwa ndani ya magari yao asubuhi ya leo wanafyatua mabomu ya machozi kwa kila kundi la watu wanalokutana nalo.
Katika eneo la Darajani, askari hao bila kuwepo kwa viashiria...
Kwanza nitasikitika kwasababu naipenda nchi yangu hivyo Kama mzalendo na agent wa maendeleo siwezi kufurahi kuona nchi yangu inadumaa kwa kukosa mawazo mbadala.
Pili nitafurahi wapinzani makini...
Serikali ya Marekani (USA) kupitia ubalozi wake hapa Tanzania imetoa taarifa yake kuhusu mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu wa Tanzania kwa kuukosoa na kutilia mashaka namna ulivyoendeshwa. Pia...
Leo alipokuwa anatoka kanisani aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda alifanya mahojiano na channel ya mtandaoni inayoitwa Sauti za watu maarufu na kuulizwa anaona "Je ni kweli Lissu...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kigoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Yafuatayo yatafuata ndani ya miaka mitano ijayo 2020-2025.
1. Madeni yahusianayo na miradi mikubwa ya maendeleo kuwaelemea Watanzania. Miradi hiyo kukwama kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo...
Habari wanajamvi,
Upinzani haupewi nafasi nchini. Kama awamu hii ya tano, bora hata zilizopita. KIla siku viongozi wa upinzani wamekua wakipelekwa police.
Hii ikafanya wasi concetrate na...
Kwa lugha inayoeleweka kabisa ni kuwa nchi hii haikuundwa kuja kuwa nchi ya vyama vingi. Ilibidi tuigize kama tuna vyama vingi ili kuepuka "kibano" tulichokuwa tunakabiliana nacho kipindi hicho...
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapa juu, sitapenda kurudia kusema yaliyosemwa na wengine kwenye uchaguzi huu.
Ila mwenye hekima ataweza kutofautisha madhara ya ushabiki wa timu za mpira na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.