Kwa Mara ya kwanza katika historia ya upinzani mgombea urais Tundu Lissu ameshiindwa kutoa ahadi ya hata KM moja ya barabara.
Maoni yamekuwa mengi kutoka kwa wapiga kura huku wengi wakidai kuwa...
Nusura ya vifungo
Nusura ya kifo
Nusura ya kurejea ngamani
Nusura ya kukamatwa
Nusura ya kuteuliwa kugombea
Nusura ya kupitishwa na tume
Nusura ya kufanya kampeni
Nusura ya kuruka na chopa
Bado...
Nani alipinduliwa 1964? Ni Mfalme ni Uhuru wa Zanzibar ni kitu gani haswa?
Waathirika wengi wa mapinduzi ya 1964 Zanzibar ni waZanzibari na sio Mfalme, kauli za leo kwa walio wengi zinasema...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM, John Magufuli (kulia)
USULI
Maaskofu Katoliki Tanzania wametoa waraka wa Kwarezima ya 2020. Katika makala hii nafupisha...
Rais wa zamani Silvestre Ntibantunganya ambaye ndiye Mwenyekiti wa ujumbe wa waangalizi kutoka Afrika Mashariki, amesema kuwa uchaguzi mkuu Tanzania ulifanyika kwa kufuata taratibu.
Ujumbe wa...
Hapa Tanzania wapinzan wa kweli waliokuwa na nguvu ni CHADEMA, hawa wengine ni bendela fata upepo tu.
Namuona mh JPM akifanikiwa kwa asilimia 90 kuua upinzani, huku akichukua miaka mingine mitano...
This is too much. Hata sisi wana-CCM hatujafurahia. Level ya ubunge ngoma ingeachwa fair at least tukawapata wabunge cream kutoka na upinzani. Ambao kwa ukweli wamekuwa na mchango mkubwa sana sana...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dodoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Niliahidi kuwa nitarejea JF baada ya uchaguzi Tuonane baada ya uchaguzi Oktoba 28 kwenda viwanjani, maofisini, vijiweni, mashuleni, vijijini, nyumba za ibada, nikisafiri kwa usafiri wa jamii...
Yaani nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka.
Chama chochote cha upinzani kupata hata kiti kimoja bungeni ni ndoto labda iwe kwa kuridhisha tu wanananchi kuwa kuna...
Nikiwa mwanaCCM kindakindaki nimepokea kwa furaha lakini kwa tahadhari kubwa haya matokeo ya Uchaguzi mkuu uliofanyika 28 Oktoba 2020.
FURAHA
Ni wazi Chama Cha Mapinduzi kilijikita kwenye kunadi...
Wanabodi,
Uongo ukisemwa sana na kuachwa kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, mwisho wake hugeuka ukweli, baada ya kutokukemea magazeti ya nje kuandika uongo kumhusu rais wetu na kumuita majina ya...
Nguzo za Nchi bye bye
Chama cha CCM kimeshinda kwa kishindo uchaguzi wa 2020. Kama ndio hivyo basi, kupeleka majeshi Zanzibar pamoja na baadhi ya maeneo ya Tanzania bara yenye upinzani ni ishara...
Wanabodi,
Huu ni uzi kuhusu kitu kinachoitwa "trend Reading" kwa jina la Kiswahili ni "kusoma mielekeo". Katika uzi huu, nazungumzia mielekeo ya Kisiwa cha Pemba, kilichokuwa ngome kuu ya CUF...
Ndugu
Zitto, Lissu, Mbowe na Wapinzani wengine mnapoteza muda kupigana Vita, kwa kisingizio kuwa mnapigania haki kwa ajili ya Watanzania.
Watanzania hawana muda na nyie kama hamjui ndio maana...
Wakuu leo ndio hitimisho la kampeni nzito sana za Tundu Lissu zilizovurumishwa nchi nzima , kwa mafanikio makubwa sana , kwa tathmini ya Kisomi niliyoifanya Tundu Lissu anatarajiwa kushinda Urais...
Wanabodi,
Hii ni thread ya swali kuhusu hili Jarida la Economics, Jee Tunaliogopa Jarida Hili?, kila likiandika kuhusu Tanzania, ni kuangazia mabaya tuu, inamaana kwenye Tanzania yetu, hakuna...
Inabidi sasa tuuseme ukweli huu,
Kipindi kilichopita CHADEMA ilishaanza kushamiri sana maeneo mengi nchini, kuanzia Arusha, Dar es salaam ,Mbeya ,Bukoba mjini na Karagwe,
Lakin Tuwe wawazi muda...
Unaweza kusema kuwa KM wa CHADEMA ndugu John Mnyika aliona mbali sana na akaaumua kuachana na kugombea Ubunge.
Najiuliza:
¹.Je, aliridhishwa na kazi nzuri iliyofanywa na CCM jimboni kwake?
² Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.