Hivi ni kwa nini CCM Zanzibar haiwatumii wastaafu ktk kampeni au mkutano mkuu wa chama,Huku bara tunaona wastaafu kama JK na wastaafu wengine huwa wanatumika sana au kushiriki mkutano mkuu wa...
CCM hawawezi siasa za ushindani, Wanachojua ni kutawala kwa mabavu. Kama CCM wangekua ni watawala wema, wangesikiliza matakwa ya wananchi kupitia uongozi wa mashina mpaka wabunge. Kinacho...
Nionavyo mimi miaka yote ya uchaguzi vyama hivi vimekuwa na kasumba ya kusubilia wagombea wazuri waliokatwa CCM hivyo kuwa mtaji mzuri wa kuwapatia vitu, Lakini mwaka huu imekuwa tofauti sana...
Mada Maalum itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mama Samiah Suluhu.
Agosti 25...
Wakati wa kampeni Magufuli alisikika akisema, nileteeni diwani na mbunge wa CCM, alikua na uhakika wa ushindi wake. Yale aliyosema yote yametimia. Majimbo karibu yote ya Tanzania yame pata...
Uchaguzi umeisha baada Watanzania waliojiandikisha kutumia haki yao ya msingi tarehe 28 October 2020 kuchagua Viongozi kupitia sanduku la kura.
Tayari matokeo ya Ubunge,Udiwani na Rais yameenza...
Uchaguzi umeisha baada Watanzania waliojiandikisha kutumia haki yao ya msingi tarehe 28 October 2020 kuchagua Viongozi kupitia sanduku la kura.
Tayari matokeo ya Ubunge,Udiwani na Rais yameenza...
Sasa si siri tena anatafutwa mchawi ndani ya CCM,kila uchwao utasikia Chakubanga na Bushiri wanalalamika ,wakipiga makelele kila kona ya Tanzania kuwaonya CCM wasiojulikana.
Jamani hivi yupo...
Awali ya yote, napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza ndugu Bernard Camilius Membe na ndugu wakili msomi Tundu Antipas Lissu kwa kuaminiwa na kuteuliwa kupeperusha bendera za vyama vyao katika...
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk Wilson Mahera amesema kuanzia leo usiku Jumatano Oktoba 28, 2020 tume hiyo itaanza kupokea matokeo ya kura za urais...
Serikali yetu ya Tanzania, nilikuwa nawashauri kuwa, hii mitandao yakijamii mliyozima kama inawezekana tuzimieni sisi tu waupinzani, maana ndugu zetu CCM wao hawana makosa, wanahitaji hii mitandao...
Wana bodi,
Ni jambo la kushukuru kwamba tumeweza kupiga kura salama na kuendelea kupokea matokeo kwa utulivu. Vilevile ni vyema kuona kwamba wana siasa kwa kiasi ki kubwa, wameweza kuheshimu...
Mniwie radhi kwa urefu wa makala hii, lakini nimeona ni muhimu wakati huu ambao Rwanda, Burundi na Kenya wanapoelekea kutufanya sisi mazuzu. Naomba wana JF mchangie bila jazba.
Safari hii ya Goma...
Mabibi na mabwana hayo ni maneno ya watu wenye hekima zao. Tushangilie kwa staha. Tusiwakere wengine.
Japo ka sare sare maua, lakini bado ushauri upo kuntu.
Tuzingatie.
Enyi wana CCM wenzangu ni wakati sasa tutulie na tuache siasa zipite maana ni wakati wa kuyaishi tulioyachagua. Tusianze chuki na kubehi kwa ndugu zetu wa upinzani na kuwaringishia kuwa...
Matokeo ya Uchaguzi wa Tanzania yameanza kutoka tangu tarehe 29/10/2020 na Chama cha CCM kwa asimilia kubwa kinadalili ya kushinda ushindi wa kishindo.
Vyama vya upinzani wakiwa wanabeza na...
Haya ndo mambo ambayo yatabaki baada ya uchaguzi. Tutegemee haya kwa kiasi kikubwa.
1. Watu wengine kuwa na hasira kila wakati na majibu ya hovyo.
2. Watu kuendelea kuwa hali ile ile waliyokuwa...
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Tanga Mjini amemtangaza Mgombea Ubunge wa CCM kwenye Jimbo hilo Ummy Mwalimu kuwa Mshindi kwa kupata kura 114,445 sawa na 93.8% akifuatiwa na Mgombea wa CUF Mussa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.