Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Matokeo ya Uchaguzi 2015: Mh. John Magufuli 8.8 million Mh. Edward Lowassa 6.0 million. Wote tunakubaliana kwamba Idadi ya Kura za EL hazitabadilika. Zinazihitajika ni kura za ambao hawakupiga...
8 Reactions
91 Replies
7K Views
Ni wazi uchaguzi wowote hauwezi kuwa huru na haki kama tume ya uchaguzi haipo huru hata kidogo. Tume huru ya uchaguzi ndio pekee itakayoamua mshindi ni yupi vinginevyo ni kupoteza muda rasilimali...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
"Tumepata taarifa kwamba kuna vikundi vya watu wachache, wameamua kuanza na vikao vya siri wakihamasishana kwamba wasikubaliane na matokeo ambayo kimsingi ni maamuzi ya Wananchi wenyewe, yoyote...
11 Reactions
156 Replies
14K Views
Hali ya mambo 2015 ilikuwa ngumu kwa CCM hasa baada ya Mh. Edward Lowassa kuhamia CHADEMA jambo lilolopelekea kura ya hasira dhidi ya CCM. Mwaka huu ni tofauti kwani Upinzani umekosa mwanaCCM...
11 Reactions
75 Replies
7K Views
Wale vijana waliozoea kunyweshwa viroba na kupata fursa za kuibia wananchi wapenda amani kipindi cha uchaguzi hatimaye wamejitambua na safari hii na siku zijazo wamekataa kuwa mbuzi wa kafara...
5 Reactions
23 Replies
4K Views
Namwamgalia Tundu Lissu namuona kama hana shida ya kuhangaika tena, apumzike ajilie mafao yake mdogo mdogo. Mbowe akifanya biashara itamtoa tu au hata kilimo. Zito Kabwe wewe sijajua una fani...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
US cites 'credible allegations' of fraud in Tanzania election A voter casts her ballot at Wazo Hill polling station in Dar es Salaam, Tanzania, on October 28. The United States said on Thursday...
7 Reactions
41 Replies
4K Views
Kupitia ukurasa wa twitter Ndg. Benard Membe amekanusha kujiondoa mbio za Urais na kumuunga mkono mgombea wa Chadema.
10 Reactions
162 Replies
19K Views
Mwaka 2010 na 2015 Chadema ilifanikiwa kupata wagombea ubunge wengi ambao ni ingizo jipya. Mwaka huu sijasikia kamanda mpya anayetajwatajwa kujiunga na Chadema na kugombea ubunge. Kwa upande wa...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Siasa ni Sayansi na uwekezaji kwa jamii. Rais Magufuli na Chama Chake cha CCM wanaijua vyema Siasa na kwa uhakika waliweka mazingira tofautitofauti ya kuhakikisha makundi yote ya kijamii...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Katika hali ya kushangaza kiongozi mwandamizi wa Chadema anayegombea ubunge Ndg. John Mrema anaanza kampeni zake kwa kuomba achangiwe. Najiuliza iwapo kiongozi huyu ambaye amepata neema nyingi za...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Kuna maandamano makubwa yamemalizika muda si mrefu katika jiji la kitalii na kiharakati...yamepokelewa na DC wa Arusha. lengo la maandamano hayo ni kuunga mkono hatua za Rais Magufuli kusimamia...
17 Reactions
164 Replies
18K Views
Nimeamini Siasa ni kuishi kinafiki na dawa ya mwanasiasa ni kumuonesha facts tu atatulia kimyaaa! Kwenye Clouds Habari jana tarehe 10 march 2018 Niliisikiliza na kuitazama segment ya jicho la...
10 Reactions
175 Replies
17K Views
Habari za mda huu. Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao. Niende kwenye mada chap chap. Kumpa kura yangu ni Big No! Vipi wewe ndugu...
28 Reactions
333 Replies
34K Views
Katibu huyu mwenezi wa CCM amewanyoosha Chadema kimatendo zaidi yaani walikuwa wakibwatuka tu yeye anawajibu kwa kumyakua mwana Chadema. Hii iliwafanya Chadema kukimbia Chaguzi za Marudio.
4 Reactions
64 Replies
5K Views
Kimoyomoyo nilikuwa nawapa UKAWA chance ya kuchukua viti vya ubunge kwa asilimia 40. Lakini baada ya kushuhudia moto wa Magufuli katika kampeni sasa ni wazi UKAWA hawataweza kufikia hata...
9 Reactions
149 Replies
13K Views
Nampongeza comrade PolePole kwa jinsi alivyoweza kuadapt na kutulia kimkakati katika cheo chake na hivyo kupelekea kuisambaratisha ngome ya Chadema vilivyo. Nakumbuka pia wapo wabunge kama watano...
12 Reactions
126 Replies
16K Views
Vita dhidi ya kuporwa rasilimali zetu ni vita kali inayohitaji uzalendo wa hali ya juu na mshikamano usio wa mashaka kama Taifa. Ni wazi kuwa vita hii iliwahi kupiganwa kwa style nyingi hapo...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Hii ni observation yangu kwa kipindi cha takribani mwaka mmoja na ushehe nikiwaangalia wanasiasa haswa haswa wa upinzani wanavyojaribu bila mafanikio kutaka ku-trend au kupata umaarufu kwenye...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwa kuwa waliuadanganya umma kuwa Tume ya Taifa inashindwa kusimamia uchaguzi kiasi cha wao kuamua kususia chaguzi ndogo za majimbo na udiwani. NEC ilikanusha na leo hii uamuzi wa Salum Mwalumu...
8 Reactions
97 Replies
8K Views
Back
Top Bottom