Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1.Kususia uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika 24 Novemba 2019. Uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika November 2019 ulikua msingi muhimu wa uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 28 Octoba...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
1. Dr. Tulia Akson-wizara inayohushu Mambo ya katiba na Sheria. 2. Ally Kessy - Mbunge aliyetumikia bunge liliopita, anaweza kuwekwa Mbunge wa kuteuliwa. 3. Pascal Mayalla - kwa uandishi wake...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Askari walivyokamata mabegi ya kura zilizopigwa nje ya kituo na kutaka kupitishwa kwa njia za panya ndani ya vituo vya kupiga kura, wasema kuna defender limejaa mabegi ya kura kama hizo. Hizo...
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Kuna watu wanaibuka wanasema sema oo mara 2020 oo mara atolewe, huo ni mitazamo ya kitoto sana, na ya watu wasiojua kucheza siasa za nchi hii, Kuna watu wanadanganyana beti oo mara fulani ni...
20 Reactions
90 Replies
8K Views
Wabunge wengi wameingia Bungeni 2015 kwa chain ya Mh Jakaya Kikwete na Mzee wetu Kinana. Kwa nature ya CCM ya sasa na Rais Magufuli (na kwa kuepuka aibu ya kukatwa) kwa ujumla hawa wafuatao...
5 Reactions
157 Replies
18K Views
Huyu Rais anatakiwa kupigwa "stop" haraka sana bila hivyo kuna hatari ya bunge kujikuta likiwa na wabunge sio zaidi ya watano kutoka vyama vya upinzani baada ya Uchaguzi Mkuu 2020! Siwezi...
8 Reactions
111 Replies
10K Views
DW: Huyu ni dikteta mpya Afrika? Wanachama thelathini na nane wa chama kikuu cha upinzani ikijumuisha wanasheria wamewekwa korokoroni wiki moja kufuatia uchaguzi. Nani bado mshabiki wa Rais Magufuli?
35 Reactions
247 Replies
26K Views
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 Ibara ya 84(1) inafafanua kuwa ?Kutakuwa na Spika wa Bunge ambaye atachaguliwa na wabunge kutoka miongoni mwa watu ambao ni wabunge au...
0 Reactions
579 Replies
80K Views
Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Keissy amesema makandarasi wanashirikiana na baadhi ya watendahi watumishi wilaya ya Nkasi kutafuna fedha za miradi mbalimbali ya maendeleo. Amesema jambo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi watu wa Mungu! Kwa kipindi cha miaka 59 tangu uhuru, Tanzania imekuwa ikiongozwa na Chama cha mapinduzi. Katika miaka hii yote watanzania wamepitia mengi sana ila kila siku maisha...
49 Reactions
231 Replies
17K Views
Nasema hivi kwasababu, najiuliza serikali inayotokana na uchaguzi kama huu wa Oktoba 28 ya mwaka huu ina uhalali gani kwa umma wa Watanzania? Kusimamia upande wa hii Serikali ni Uzalendo au ni...
0 Reactions
0 Replies
484 Views
Uzi huu ni swali. Tuelimishane kwa tunaojua jibu la swali. Viongozi wakuu SMZ wanaomaliza muda wao mwaka huu 2020 na wapya waliotangazwa kushinda kwenye uchaguzi uliomalizika visiwani Zanzibar...
7 Reactions
36 Replies
4K Views
Wagombea wa udiwani wa chama cha mapinduzi (CCM) katika Kata tisa kati ya 12 ambazo kura zimemaliza kuhesabiwa wametangazwa kushinda. Akizungumza na mwandishi msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo...
6 Reactions
48 Replies
5K Views
The citizens of the United Republic of Tanzania will elect on 28 October their President, Members of the parliaments of the Union and Zanzibar, as well as local councillors. The European Union...
11 Reactions
68 Replies
7K Views
Ukweli mchungu ni kuwa shamrashamra zikishapungua, mwenyekiti wao bila kificho atawaambia kupitia umma kuwa sasa ni wakati wa kulipa fadhila. Haiingii akilini uwang'oe Mdee, Mbowe, Lema, Mbilinyi...
54 Reactions
115 Replies
10K Views
Hapo majuzi kuna wajinga walianza kulaumu wasanii wa Tanzania na kusifia wa Nigeria yani nikimsikia mtu huyo matusi yote duniani yatakuwa halali yake. Msanii hawezi kuanzisha maandamano bali...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
May be kutakuwa na kesi nyingi, je mahakama ziko tayari kuzi handle justly? Kwa ushahidi unaotegemewa kutolewa, ni wazi katika haki zote zitatenguliwa nyingi za "ushindi" was kubeba mabox na...
0 Reactions
3 Replies
602 Views
Waliojiandikisha jimbo la Geita ni watu 148,360 Waliojitokeza kupiga kura ni watu 49,700 Watu zaidi ya 98,000 hawajapiga kura Uthibitisho ya kwamba, Watanzania walio wengi wamechoshwa na haya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana CCM mnafurahia ushindi mnono wa kubumba, leo niwakumbushe jambo kwamba; Mzee JMK aliulea upinzani ukaanza kukomaa. Mwana 2015 ikapelekea kuwepo na ushindani uliosababisha tumpate JPM ambaye...
0 Reactions
0 Replies
449 Views
Tulikuwa tunadangaywa na propaganda za watu wachache kwamba Marekani ni wavuruga amani pamoja na Kuwaita Mabeberu lakini bado hawa watu wana huruma sana na Afrika. Misaada mingi wameendelea...
14 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom