Hii ni tabia ya wapinzani toka 1995.
Mwaka huu tume inafanya kazi kwa weledi sana na mpaka sasa hatujaona mapungufu ya NEC ukiacha shutuma za kitoto kutoka kwa Mbowe.
Kwa jinsi NEC inavyoendesha...
Wakuu Salaam,
Gazeti la Mwananchi limeandika ukurasa wa mbele kuwa ACT-Wazalendo kimepata viti vinne vya ubunge bila kutaja majimbo yenyewe.
Nauliza ni majimbo gani hayo ambayo ACT kimeshinda...
Wanaocheka wanaweza wakaja kulia baadae na wanaolia wanaweza wakaja kucheka vile vile, siku zote hata biashara ikikosa ushindani usitegemee huduma nzuri na ndio hivyo hivyo kukosekana kwa Upinzani...
Najua wapo wengi wanajiuliza mustakabali wa kisiasa katika miaka mitano ijayo na kubaki wakiumia tu. Wanaumia kutokana na ukweli kwamba, nafasi karibu zote za uwakilishi wa kisiasa, zimechukuliwa...
Ki ukweli, kama wewe kwa akili zako zooote, umekaa na kuwaza, ukafanya utafiti na jibu ulilopata ni kuwa Lissu angechukua nchi uchaguzi huu, walahi wewe ni KILAZA.
Magufuli kawa zunguka sana...
Wana-JF,
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imehusika kwa kiasi kikubwa katika uharamia huu tulioshuhudia siku chache zilizopita.
Kipindi kifupi kilichopita, Mahakama Kuu ya Tanzania ilitoa hukumu...
Ukimzidi mshindani wako kwa asilimia 90% kutakua na sababu kubwa mbili za wewe kuupata ushindi huo.
1. Uwezo wa mshindani wako katika mnachoshindania ulikua duni sana. Hili hata walimu huwa...
Habari watani wetu wa jadi..!
Ndugu zangu w upinzani naomba niwakumbushe matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, kipindi ambacho Chadema ilikubalika chini ya Dr. slaa n ndio kipindi ambacho CCM...
Ndugu zangu,
Kama kawaida baada ya uchaguzi tutakuwa tukipata matokeo moja kwa moja toka kwenye majimbo na kupitia Tume ya Taifa ya uchaguzi. Zifuatazo ni baadhi ya kauli tutakazozisikia kutoka...
Baadhi yetu tuliwaambia.
Na tumekuwa tukiwaambia kwa miaka mingi tu.
Lakini mko wagumu kuelewa na mko wasahaulifu sana.
Nisirudi nyuma sana maana nikifanya hivyo mnaweza hata msielewe.
2015...
Asubuhi ya tarehe 28 October niliamka mapema tu nikiwa na furaha. Nilikua nimepanga lazima " Nikachinje" watu watatu kutoka chama kile "Cha Siku Zote". Kichinjio changu kilikua tayari tayari stand...
LAZIMA tujue kuwa anguko la CHADEMA mwaka huu ni la kihistoria. Haijawahi kutokea tangu kuanza kwa Mfumo wa Vyama vingi mwaka 1992. Labda kwa wasiofahamu dhambi ya kumkataa Jasusi au Kachero...
Niwatakieni salamu nyingi siku ya leo.
Moja kwa moja kwenye mada. Kuanzia siku ya jana kumekuwepo na video na picha za majeruhi na waliofariki wenye majeraha yanayodhaniwa ni ya risasi na kwa...
Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga linafanya uchunguzi kuhusiana na tukio la jaribio la kuchoma moto nyumba ya Mbunge Mteule wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi (CCM) iliyopo mtaa wa...
Kufuatia matokeo ya uchaguzi mkuu 2020 jimbo la Nkasi yaliyomnyima ubunge Bw. Ally Keissy, namshauri aende mahakamani kupinga matokeo.
Kwa kuwa nia ya Mh. Rais ni kuona CCM inashinda majimbo yote...
Video ikionyesha wananchi wakiwarushia mawe askari visiwani Zanzibar
Video ikiwaonyesha askari wakimshushia kipigo Mwananchi kwa madai ya kuwarushia maneno
Bado sijawahi kuvikubali vyama vya upinzani, kutokana na sera zao, mifumo ya wanavyojiendesha hadi muonekanao wa ndani na nje. Bado havifai kipewa dhamana ya kukabidhiwa ikuru/nchi na kutuongoza...
Kama tunavojua Rais wetu mpendwa ni Rais msikivu na mchapakazi, kila alichoahidi anajitahidi kukitekeleza, aliahidi kufikia 2020 Upinzani utakuwa umekwisha Tanzania, watu wengi hawakuelewa...
Ni wazi Wala Bila Shaka kwa Sasa CHADEMA na ndugu zake wamepata matunda ya usaliti wao kwa wananchi.
Msimtafute mchawi hali ya kua mmejiroga wenyewe kwa matendo yenu kwa wananchi na Wala...
Hii hali inasikitisha kwa sasa.
Mpenda demokrasia na anae taka CCM ipate upinzani wa kweli ili ilete maendeleo anaumizwa na kitendo cha watu waliokuwa wa ngazi za juu kabisa za uongozi wa CDM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.