mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,219
- 6,650
Niliahidi kuwa nitarejea JF baada ya uchaguzi Tuonane baada ya uchaguzi Oktoba 28 kwenda viwanjani, maofisini, vijiweni, mashuleni, vijijini, nyumba za ibada, nikisafiri kwa usafiri wa jamii (barabarani, reli, majini na angani), nitakatembelea na kuongea na baadhi ya marafiki na adui nje ya nchi, nk na kugundua kuwa kumbe kumekucha nisiendelee kulala.
Naomba msamaha kwa wanaJF kuwa narejea kwenye jukwaa pendwa, tofauti nilivyoahidi, kwa sababu uchaguzi ni kesho, uzalendo umenishinda kiasi inabidi niwashirikishe nilichokisikia na kukiona (kati ya watu 10 niliyoweza kuongea nao, kila kundi, papo kwa papo).
1) Viwanjani: nina maana viwanja vya kampeni. Kuna:
√ wagombea wanaonadi (79%) wasionadi (9%) na wasio na Sera (12%);
√ wanaotukana (2%), wasiotukana (89%), na wavumilivu (9%);
√ wanaotoa ahadi hewa (98%) na wanasema ukweli (2%); na
√ wanaohubiri liwalo na liwe (65%) na wanaombea amani (31%), nk.(4%)
2) Maofisini: kwa maslahi yao ya kiajiriwa, wapo:
√ wanaoamini miaka 5 ya utawala uliopo umewakumbuka (87%);
√ wenye matumaini na utawala uliopo (7%);na
√ wasioamini wala kuwa na matumaini na utawala wa sasa (5%); na
√ wasio na maoni yoyote (1%).
3) Vijiweni:
√ karibu idadi kubwa (93%) hawajui kinachoendelea zaidi ya kushabikia udaku. Kwa stori za matukio ya kufedhehesha ndio hupata usikivu na wafuasi wengi;
√ Asilimia zaidi ya 80 wana simu mpakato za bei mbaya na huzitumia kusoma mambo ya udaku kwenye mitandao ya kijamii; na
√ pungufu ya 36% wanajua hali halisi ya maisha yao na fursa za kiuchumi zilizopo.
4) Mashuleni:
√ Maslahi ya walimu kuboreshwa (78%);
√ Miundo mbinu ya shule kuboreshwa (69%);
√ Ubora wa mitaala (57%), kwamba elimu bado ni ya kukaririsha wanafunzi kuajiriwa;
5) Vijijini: asilimia zaidi ya 80% wanaukubali utawala wa sasa kwa kujali kero zao za maji (78%), nishati (89%), afya (77%), elimu ya watoto wao (89%), miundo mbinu ya usafiri (77%), nk.
6) Nyumba za Ibada: la msingi hapa ni uhuru na haki ya kuabudu (100%) na kuombea amani kwa kumtegemea Mungu (97%).
7) Wasafiri: kwa ujumula 89% wanapongeza utawala wa sasa kwa kuboresha miundo mbinu ya usafiri, barabarani (64%), reli (97%), majini (93%), angani (100%).
Je, WEWE mwanaJF uko kundi lipi hapo juu na kura yako utakipa chama gani ukizingatia vyama vinavyogombea vimejikita katika falsafa/kauli mbiu zifuatazo:
ACT-Mzalendo: Tanzania yenye watu wenye hali bora kijamii na furaha ya kweli, yenye kujali utu - (Kazi na Bata).
CCM: Tanzania ni nchi tajiri. Tukiamua tunaweza, "Tumetekeleza tunasonga mbele"
CHADEMA: Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu.
CUF: Utajirisho
NCCR-Mageuzi: Mwafaka wa kitaifa