Wapinzani mnahangaika na Watanzania lakini Watanzania hawana muda na ninyi, wanamkubali Magufuli

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
13,930
21,017
Ndugu

Zitto, Lissu, Mbowe na Wapinzani wengine mnapoteza muda kupigana Vita, kwa kisingizio kuwa mnapigania haki kwa ajili ya Watanzania.

Watanzania hawana muda na nyie kama hamjui ndio maana mnatoa matamko mitandaoni, wanawaangalia tu, mnasema haki zinaminywa lakini wenyewe wanaendelea na mambo yao, hawaoni huo udikteta wa magufuli wala haki kuminywa.

Hivyo basi ni bora mkaendelea na biashara zenu, mnauchungu na watu ambao hawana uchungu na nyie, hata mkipigwa hakuna mtanzania wa kuingia barabaran kisa nyie, huo ndio ukweli Kama hamjui

Wananchi wakiona hakuna demokrasia, hakuna haki, kuna uvunjifu wa sheria, hakuna atakaye walazimisha wataingia wao barabarani.

Mtanzania haamini mpaka aone damu, waache kwanza Magufuli awanyooshe, watakapo One umuhimu wenu watawakumbuku, kwa sasa mnajisumbua tu bure.

Kubalini matokeo, kwani wananchi wameopiga kura wameshayakubali, na hamna uwezo wa kuwambia waingie barabaran.

Polen sana
 
Mkoani kwetu shughuli zinaendelea Kama kawaida. Tunaouza nyanya na vitunguu pembezoni mwa barabara tumepanga Kama kawaida.
Yani kiufupi Maisha yanaendelea Kama uchaguzi mkuu ulifanyika 2017, wakat ni juzi tu.
Tuchape kazi. Kuingia barabarani ni kazi na matrafiki
 
Ndugu

Zitto, Lissu, Mbowe na Wapinzani wengine mnapoteza muda kupigana Vita, kwa kisingizio kuwa mnapigania haki kwa ajili ya Watanzania.

Watanzania hawana muda na nyie kama hamjui ndio maana mnatoa matamko mitandaoni, wanawaangalia tu, mnasema haki zinaminywa lakini wenyewe wanaendelea na mambo yao, hawaoni huo udikteta wa magufuli wala haki kuminywa.

Hivyo basi ni bora mkaendelea na biashara zenu, mnauchungu na watu ambao hawana uchungu na nyie, hata mkipigwa hakuna mtanzania wa kuingia barabaran kisa nyie, huo ndio ukweli Kama hamjui

Wananchi wakiona hakuna demokrasia, hakuna haki, kuna uvunjifu wa sheria, hakuna atakaye walazimisha wataingia wao barabarani.

Mtanzania haamini mpaka aone damu, waache kwanza Magufuli awanyooshe, watakapo One umuhimu wenu watawakumbuku, kwa sasa mnajisumbua tu bure.

Kubalini matokeo, kwani wananchi wameopiga kura wameshayakubali, na hamna uwezo wa kuwambia waingie barabaran.

Polen sana
Viongozi wa juu wa ACT Wazalendo na CHADEMA Kesho, Jumamosi, Oct 31, watazungumza na vyombo vya habari saa nne asubuhi. Watakua Makao Makuu ya CHADEMA Kinondoni.
 
Mita kumi tu, ndio zitatumika kupima ujasiri wenu. Kila la kheri.
 
Yaan watu waingie bara barani Kwa ajili ya kupambania matumbo Yao...?

Kwanza Demokrasia kichaka cha Wazungu walicho kileta kwetu ili wapige pesa.

Si tumeridhika na Baba etu

Hao wanaotaka waandamane tuu si tuwaangalie kwenye TV huku nakunywa Tangawizi yangu na karanga mbichi nikijiandaa na show yakibabe usiku ndani kwangu na dada ako.
 
Ndio maana nasema kina

Zitto

Lissu

Mbowe

Wafanye yao

Siku watanzania wakinyooshwa vizur na hawa mashwtani wa ccm nadhan ndio watagundua kuwa hawajui
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom