Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tufungulie mitandao jamani. Nadhani lengo limeshatimia. Mitandao kwa maisha ya Leo ni kama oxygen, short of which one suffocates to brain impairment if not death.
6 Reactions
45 Replies
4K Views
Nianze kwa kuwapongeza Watanzania kwa uzalendo wao wa kuchagua maendeleo bila kujali itikadi za vyama vyao, hakika ushindi wa CCM ni uthibitisho wa mageuzi ya ki-fikra ya Mwafrika yenye kuachana...
11 Reactions
49 Replies
3K Views
Ni wakili wako wa mambo yaliyokukuta juu ya shambulio lako sawa! Ni haki ya kila mtu kuwa na wakili amtakae popote duniani, na hata Nyerere alikuwa na wakili Mzungu, sawa! Lakini huku field...
26 Reactions
72 Replies
6K Views
Wana Jamvi, Nina furaha kubwa kuona kwamba kama watanzania, tumeweza kupokea matokeo yote kwa utulivu na ku kubaliana na hali tuliyo nayo sasa hivi. Kipindi ambacho mengine yana endelea...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mchakato wa kutangaza matokeo ya washindi wa uchaguzi nchini Tanzania yanaendelea kutangazwa na tume ya uchaguzi nchini Tanzania. Watanzania wameshuhudia anguko la wapinzani kwenye ngome zao...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kutokana na kura za ubunge walizopata CHADEMA wanaweza kupata wabunge wa Viti Maalum kati ya 12 na 18. Sasa wazo la wao kususia bunge na mabaraza ya madiwani limekuwa gumu kwa sababu kuna...
6 Reactions
49 Replies
5K Views
Kwanini upinzani umeanguka vibaya: 1) Hakuna Mtanzania yeyote anayeweza kuchagua mbunge ambaye anashauri mashirika ya fedha na wadau wa maendeleo wasiipe fedha Tanzania kwa ajili ya ujenzi wa...
33 Reactions
135 Replies
11K Views
Mimi nilikua msimamizi msaidizi wa kituo cha kupigia kura. Mambo yafuatayo niliyoyaona katika kituo yanathibitisha hoja yangu. 1: Kufungua kituo Kituo kilifunguliwa SAA moja kamili na msimamizi...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Watanzania tusingekuwa wanafiki, basi wote tungepaza sauti kupinga kitendo kilichofanywa na Serikali kwa kutoa amri ya kulimit internet access, lakini kwa sababu ya hofu, watu wengi wanaumia...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama ambavyo kinara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amekua akinadi sera za CHADEMA baadhi ya sera mojawapo ni Sera za Majimbo. Katika kunadi sera hizo, Sera za Majimbo...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Tarehe 31 Oktoba tumeshuhudia kuitishwa kikao cha waliokosa nafasi mbalimbali za ubunge na urais ili kutangaza kufanya maandamano siku ya tarehe 2/11/2020. Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa mfumo...
19 Reactions
118 Replies
10K Views
Haya ni maoni yangu binafsi. Kwanza nianze kusema inaelekea baada ya robo karne ya vyama vingi, sasa kuna mwelekeo mpya duniani. Haiwezekani mfumo wa vyama vingi hadi Leo Afrika ndio sababu ya...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Watu hawashiriki kwenye maandamano kwa kushawishiwa. Maandamano ni utashi wa mtu na hushiriki tu kwa kuwa ameguswa. Maandamano ya kushawishiwa kwenye mikutano na waandishi...
42 Reactions
105 Replies
10K Views
Jana usiku walikamatwa Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya Bukoba Mjini, aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia CHADEMA ambaye pia alikuwa meya wa Manispaa ya Bukoba, aliyekuwa mgombea udiwani kata ya Kashai...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa namna fulani matokeo tunayoambiwa ya uchaguzi kuwa CCM wamechukua viti vya Bunge kwa 100% mimi binafsi nimeyapokea kwa furaha sana, sio kwa kuwa naipenda CCM, la bali kwa kuwa CCM na wananchi...
13 Reactions
25 Replies
3K Views
Nauliza tu kwa wale wabobezi wa masuala ya Haki za Binadamu kama itakuwa ni halali kwa viongozi wa CHADEMA kuwazuia Wabunge wake wa Viti Maalumu ( Wanawake) kwenda kuapishwa na kushiriki vikao vya...
0 Reactions
3 Replies
975 Views
Video hapo chini inatoa ujumbe.
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Nikiwa mdogo niliamini kwamba karatasi ya kupigia kura ni moja ya confidential documents ambayo inabaki confidential mpaka hata baada ya zoezi la kupiga kura na hata wagombea kutangazwa. Maajabu...
12 Reactions
36 Replies
3K Views
Mkapa anajulikana kwa marafiki wachache na issue zake binafsi hadi watu wakadhani kuwa ni dictator, wana mtandao wakasitawi nje ya macho ya Mkapa ambaye hakuona Uenyeketi wa CCM ni uungu mtu. JK...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakili wa aliyekuwa mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, Robert Amsterdam ameiandikia barua jumuiya ya madola na kuiambia kuwa kuna ubadhilifu mkubwa...
26 Reactions
411 Replies
36K Views
Back
Top Bottom