Wakili wa aliyekuwa mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, Robert Amsterdam ameiandikia barua jumuiya ya madola na kuiambia kuwa kuna ubadhilifu mkubwa...
Jitahidi kum- treat Lissu kama unavyo m-treat Magufuli, wala hakutakuwa na hoja ya kunyanyuana na Lissu. Lakini ukimuona kama mtu aliye duni kuliko Magufuli, basi hutaweza kutenda haki kwa wote na...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa, amewataka wagombea ubunge kutoka mikoani walioshindwa katika uchaguzi, warudi majimboni mwao kwa sababu kitendo cha...
Wakuu,
Inaonekana wanasiasa mko tayari kusaka madaraka ya kuongoza wananchi kwa njia zozote hata za kuendesha, uasi, machafuko na mbinu za mapinduzi yasiyo halali kufanikisha malengo yenu...
Nimefuatilia mikutano ya kampeni za uchaguzi na kugundua kwamba pamoja na ilani zinazotangazwa na vyama ambazo ndio dira ya yajayo, lakini kikubwa na kinachotofautishwa na vyama hivi ni kauli za...
Nimemsikia Mzee Makamba akitaja ranchi zilizochukuliwa na Lowassa. Simtetei Lowassa, lakini nadhani kwa kuwa hapa sasa yanazungumzwa masuala ya mali za umma, ebu tuelezane kidogo kuhusu Mkapa na...
Taarifa kutoka Wilayani longido mkoani Arusha ni kwamba katibu mwenezi na wanachama wake wa kutosha wamehamia CCM Tarehe 30 oktoba 2020.
My Take:
Hongera kwao kwa kujitambua.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 02 Agosti, 2020 atapokea Hati za Utambulisho za Mabalozi Wateule wa Marekani na Vietnam hapa nchini. Tukio hili...
Salaam
Wakurugenzi wa Halmashauri na Wakuu wa Wilaya ni watu muhimu sana katika kusukuma gurudumu la maendeleo nchini kwetu. Wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa Halmashauri wote ni wasomi wa...
Kuna hawa Access Now wanatetea uhuru wa Internet Duniani hasa maeneo ambayo Internet hukatwa kwa sababu za kisiasa, tayari walishakuja na tamko lao.
Tunapigwa kila pande, Mungu atusaidie
Hakika CCM imedhamiria haswa.
Mbunge mteule wa Jimbo la Arusha ndugu Mrisho Mashaka Gambo ameanza kutekeleza mojawapo ya ahadi zake alizozitoa jijini humo hususani katika soko kongwe na maarufu la...
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima, amepiga marufuku utaratibu wa wananchi wa vijiji vitatu vya Remng’orori, Mikomarilo na Sirorisimba vilivyoko katika wilaya za Bunda, Serengeti na Butiama...
Kutokana na ukiukwaji mkubwa wa sheria, kanuni, na taratibu za Uchaguzi Mkuu 2020 zikizowaweka madarakani wezi wa kura kwa mbinu chafu zikiweko kura feki, wanasheria mkae mkao wa kula.
Mna chanzo...
Nipo tayari kuhama nchi kama Magu atashinda Urais
Nitaondoa biashara zangu zote Tanzania na kuziamishia nchi zingine.
Nitaondoa watoto wangu wote Tanzania siwezi kuendelea kuishi kifala ndani ya...
HAPPY BIRTHDAY MWALIMU JKN.
Hayati Baba wa Taifa, leo 13/4/2019 angetimiza miaka 97 ya kuzaliwa. Alizaliwa tarehe ya leo mwaka 1922. Niandike jambo moja kama kumbukizi na kumuenzi.
Mwaka 1985...
1. Wakati wa harakati za kupinga ubaguzi wa rangi Afrika ya Kusini ni watu wachache sana wenye ujasiri walioongoza harakati zile. Wengi wakiwemo waliokuwa wanafanya kazi kwenye mashamba na...
Kuna jambo nimeliobserve toka Lissu arejee kutoka Ubelgiji kuhusu mahusiano kati yake na muasisi wa Chama Cha Chadema mzee Edwin Mtei
Baada ya kupitishwa na kuwa mgombea wa CHADEMA niliamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.