Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwamba upinzani hawakuibiwa? Nani asiyejua? Kwa amani na usalama wa nchi yetu wanatakiwa wasipige kelele wala kulalamika juu ya kuibiwa kwao? Vinginevyo kesi za ugaidi na utakatishaji pesa...
2 Reactions
6 Replies
825 Views
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kamati hiyo pia imeelezwa kuwa mwekezaji katika mradi wa uwekezaji wa Mlimani City alikuja na mtaji wa Dola za Marekani 75 (Sh 150,000) kuwekeza katika...
16 Reactions
289 Replies
39K Views
Labda tuwaeleze kinagaubaga Tanzania ni nchi huru iliyopata uhuru na kujititengenezea katiba yake na sheria zake, isiyoingiliwa na yeyote kutoka nje ya nchi au ndani ya nchi. Bila kuficha...
20 Reactions
96 Replies
5K Views
Kwanza kabisa tunamuomba Lissu ajitokeze na aseme alipelekwa Polisi kwa tuhuma zipi kwani inaonekana tuhuma hizo sio za kawaida unless zimeisha leo leo. Binafsi nimesoma tweet ya mwandishi mmoja...
18 Reactions
164 Replies
15K Views
Nimeangalia media za kimataifa kuona kama wapo aware na kinachoendelea tanzania sijaona hata mmoja akitangaza, Watanzania wote mlioamua kufanya kazi za siasa za upinzani ni wakati wenu kuonyesha...
24 Reactions
51 Replies
3K Views
Mungu siku zote husimama na wanyonge wenye kuitafuta haki. Kati ya taasisi ambazo Duniani kote, kwa kiasi kikubwa huheshimika na huaminika, mojawapo ni taasisi za dini. Taasisi hizi, kutokana na...
5 Reactions
12 Replies
44K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba ya mwisho ya kampeni za urais inaonyesha wagombea wanaochuana katika Uchaguzi Mkuu, Rais John Magufuli wa CCM atafunga kampeni zake Dodoma huku Tundu...
31 Reactions
272 Replies
28K Views
Hii ni baada ya wananchi wa jimbo hilo kukubaliana kwamba mbunge wao atatokana na CHADEMA , ambaye ni Liberatus Mwang'ombe . Angalia ushahidi huu kutoka Ubaruku
22 Reactions
56 Replies
8K Views
Habari wakuu! Jana, Oct 30 2020 Mbunge aliyeshinda jimbo la Dodoma mjini kwa tiketi ya CCM, ndugu Anthony Mavunde ameshindwa kuongea na wananchi wa Dodoma mjini baada ya kundi kubwa kuanza...
32 Reactions
213 Replies
23K Views
Baada ya kuona watu waliokuwa wanajazana kumuangalia mgombea aliyetoka Ulaya, wengi wa makamanda wakawa wanauliza tuliambiwa upinzani umekufa mbona haujakufa, mkaambiwa kuweni makini hao ni amsha...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
We are deeply concerned by reports of election irregularities, politically motivated arrests, and violence during Tanzania’s elections last week. We urge authorities to fully address concerns of...
46 Reactions
190 Replies
18K Views
Si wote wanaomudu nauli kwenye vyombo vya usafiri. Wengine tunatembea kwa miguu ili kumudu maisha yetu. Asubuhi hii tunajiandaa kutoka. Msitukamate na kutuweka ndani. Riziki tunayo tafuta ndiyo...
14 Reactions
33 Replies
3K Views
Mgombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli amesema anataka kuongoza nchi kwa amani. Amewataka watanzania kuwa makini na wanasiasa wanaowachochea wafanye fujo baada ya...
22 Reactions
175 Replies
11K Views
Rais John Magufuli ameipongeza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kufanikisha uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020 na kubainisha kuwa baada ya kuibuka na ushindi ataliongoza Taifa la Tanzania kwa...
27 Reactions
181 Replies
15K Views
Tukiacha maspika walioongoza bunge kipindi cha chama kimoja hapa tunawangalia hawa waliongoza kuanzia awamu ya tatu ambayo ni ya vyama vingi. Akianza Pius Msekwa alikuwa bora kulingana na kipindi...
4 Reactions
130 Replies
7K Views
Natamani hapa nilipo ningeletewa mashekhe,wachungaji,mapadre na waganga wakienyeji waniapishe ili nikisema uongo basi nguvu za kiroho za kokote baina yao zinihukumu. Hapa mtaani kwetu tuna chama...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
The conduct of the upcoming elections in Tanzania has important consequences not only for Tanzania, but for the entire East African region. Tanzania’s history of peaceful multi-party elections...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari IGP Sirro. Matumaini yangu nikuwa huwa naamini katika utendaji wako uko makini! Na mbaya zaidi hiki chombo cha Polisi unakielewa vizuri sana kwa kuzingatia wewe umepitia ngazi mbali mbali...
8 Reactions
23 Replies
3K Views
Wanabodi, kama heading inavyosomeka: TLS- Tanganyika law society na wanasheria wengine, tuleteeni Test case dhidi ya NEC jinsi walivyooendesha uchaguzi huu chonde chonde. Tunafahamu kwamba...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Ndugu Rais, nakusalimu. Awali ya yote ninakupongeza kwa dhati kabisa kwa kuchaguliwa kwako kwa kishindo kuingoza tena Tanzania kwa miaka mingine mitano. Ushindi huo sio bahati mbaya. Watanzania...
4 Reactions
64 Replies
6K Views
Back
Top Bottom