Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu Rais, nakusalimu. Awali ya yote ninakupongeza kwa dhati kabisa kwa kuchaguliwa kwako kwa kishindo kuingoza tena Tanzania kwa miaka mingine mitano. Ushindi huo sio bahati mbaya. Watanzania...
4 Reactions
64 Replies
6K Views
Vurugu na ukatili wa Vyombo vya Dola ni sehemu muhimu ya Serikali za kidikteta katika kupambana na wapinzani wao kwa kisingizio cha kulinda amani na usalama. Kuna kila dalili maandamano...
17 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa yanayoendelea nashauri Wanasiasa wapumzike kabisa na wapige kimya, Mbowe na Wakina Zitto wote wapige kimya make haiwezekani wahangaike peke yao huku sisi tukiwa kwenye keyboard tu. Vizazi...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Wasalaam wajumbe! Ninawaomba sana upinzani katika nchi hii utambue kua mabadiliko ya mifumo ya kiutawala iliyojaa uonevu na ukoloni hayatafanywa na CCM. Hiki chama kilichobakisha sasa ni kugawana...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika viongozi ambao wamepitia katika changamoto nyingi miaka mitano iliyopita ni Freeman Mbowe anashika nafasi ya pili baada ya Tundu Lissu. Tukianza na kwamba ameharibiwa biashara zake...
10 Reactions
9 Replies
1K Views
Kimsingi binafsi nilisimamia uchaguzi, jioni msimamizi ngazi ya kata akanipigia simu akauliza nipe matokeo, nikampa, akauliza mbona yako hivi nikamwambia wewe ulitakaje? Akasema mbona matokeo yako...
74 Reactions
96 Replies
9K Views
Waandishi wa habari wa Tanzania wamekuwa vituko. Hawajui kuuliza maswali, hawajui kuhoji na wameweka ushabiki mbele kuliko Tanzania. Kumpenda Magufuli au kiongozi yeyote wa Upinzani haina maana...
1 Reactions
1 Replies
842 Views
Niko hapa nimekutana na "jamaa" yangu aliyekua msimamizi mkuu wa kituo. Daah! Yani nna hasira kweli kweli! Hivi inakuaje mmekula kiapo tena kwa kushika biblia alafu unarudi kituoni mnafanya...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
ITV habari saa2 , Wafuasi wapatao 20 wa CHADEMA Singida wamefikishwa mahakamani kwa makosa 3 mkusanyiko usio halali. Nimependa tabasamu lao na tumaini lao kwa mageuzi wakiwa mahakamani hakika...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Uchaguzi umekwisha. Kwa jimbo la Kawe, Gwajima ndio kidedea kwa miaka mitano ijayo. Sasa Askofu Gwajima kaa chonjo, waingereza husema, you should hit the ground running. Yule dada Halima...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari wana JF, poleni kwa pilikapilika nyingi za maisha. Leo kuna jambo nimeona niliongelee kwa upana zaidi. CHADEMA kwa sasa ni taasisi kubwa sana hivyo ni wajibu wa viongozi na wanachadema...
13 Reactions
55 Replies
3K Views
ANAANDIKA MH.TUNDU LISSU ------- Waheshimiwa viongozi salaam. Mimi na timu yangu ya kampeni tuko Kilimanjaro International Airport tangu saa nne asubuhi. Tulikuja kuweka mafuta kwenye chopper...
119 Reactions
350 Replies
35K Views
Kwa cheo chake, kwenda hadharani, njiani kwenye miradi ya serekali kutoa hela mbele.ya umati nikuonyesha nini? Kuna ustawi wa jamii namafungu yao na vyombo na taasisi na wizara husika kuyafanyi...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Watanzania wenzangu, napenda kutoa angalizo muhimu sana. A political mercenary is a gun for hire! Tufanyeni makosa mengine yote tunayoweza kufanya, lakini shime shime tusije tukaingia kwenye...
12 Reactions
87 Replies
5K Views
I enjoyed talking with NCCR-Mageuzi’s James Mbatia and hearing his insights gained from 30 years in Tanzanian politics. I hope to meet with candidates and leaders from ALL PARTIES to share...
18 Reactions
168 Replies
14K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Prof Ibrahim Lipumba, ametangaza kuwa kutokana na uchaguzi mkuu ulivyoendeshwa nchini, chama hicho hakitashiriki uchaguzi wowote na badala yake kitajikita...
37 Reactions
85 Replies
9K Views
Kwasababu kwa kiasi kikubwa kura ya turufu katika uchaguzi huu walikuwa nayo wasimamizi wa uchaguzi na askari polisi, narudia wito wangu tena kwa viongozi wa upinzani kuacha kujihangaisha kuongoza...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Mbunge mteule wa Mbeya Mjini (CCM), Dkt. Tulia Ackson amesema hajachukua fomu ya kuwania uspika wa Bunge la 12 ili apate nafasi ya kuwatumia wananchi waliomchagua. Badala yake, Dkt. Tulia ambaye...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
*Kalamu Baba Askofu Benson Kalikawe Bagonza* NDOA INAHITAJIKA... Inahitajika ndoa ya dharula ili maisha yarejee katika hali ya kawaida. Maharusi ni Bwana NGUVU na Bi HEKIMA. Kwa nini ndoa? Jibu...
25 Reactions
29 Replies
4K Views
UK statement following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020. Foreign, Commonwealth & Development Office Following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020...
20 Reactions
107 Replies
12K Views
Back
Top Bottom