Uchaguzi 2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,861
Wakili wa aliyekuwa mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, Robert Amsterdam ameiandikia barua jumuiya ya madola na kuiambia kuwa kuna ubadhilifu mkubwa umefanyika katika uchaguzi wa Tanzania hivyo ameomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi huo.
 

Attachments

  • 2020-10-29-Commonwealth-Complaint.pdf
    495.7 KB · Views: 297
Naona watu wamemgomea brother kuandamana.
Mtaji wa mwanasiasa yoyote ni watu kitu ambacho Tundu hana. Angekua nao sasa hivi tungekua tunatuma maombi ya kuombea nchi

Anzeni upya kwa kutengeneza misingi mizuri kutoka chini sio unaamua ndani ya miezi 3 uwe Rais na utegemee sapoti kubwa kutoka kwa watu ambao haukua nao ukitegemea watu wa mitandao wanaokupamba na hujui Kama wapo kweli
 
Nigeia iliwahi kuvuliwa uwanachama kwa miska mitatu, ukivuliwa uwanachama hupati ile ruzuku ya maendeleo ya kila mwaka kutoka kwa nchi mama.
Wewe mama ni mgogo nini?? Unapenda msaada sana. Hata wanao unawahimiza wawe tegemezi namna hiyo kwa kila rasilimali tulizonazo hatustahili kabisa kusaidiwa ni basi tumekua na tamaduni za kishenzi kila kitu kuombaomba wakati rasilimali tunazo emu wahimize vijana wafanye kazi tuondokane na hulka za kipumbavu za kuomba omba.
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom