Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Election Day is tomorrow. I was told by the JF powers that be that we can’t make predictions about it. So I’m not gonna make a prediction one way or the other. But let’s face it, most of us...
30 Reactions
101 Replies
7K Views
Vyama tisa vya upinzani vimetoa tamko la kukubali matokeo ya uchaguzi mkuu wa Tanzania uliofanyika Oktoba 28, 2020 na mgombea wa CCM, Dkt. John Magufuli kuibuka mshindi baada ya kupata 84.4% ya...
10 Reactions
62 Replies
7K Views
Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo. Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wametekwa...
116 Reactions
345 Replies
25K Views
Najiuliza tu ikiwa uchaguzi SM ilibidi watu wabembelezwe kujitokeza na bado muitikio ulikuwa mdogo kuliko matarajio sasa tumepita katika uchaguzi mkuu mambo ni yaleyale wengi hawakupiga kura. Je...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
What is a police state? Per the Oxford Learner's Dictionary, a police state is a "country where people’s freedom, especially to travel and to express political opinions, is controlled by the...
44 Reactions
189 Replies
23K Views
Wakuu Salaam: Nazunguka kila site kufatilia kinachojiri kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi. Mh.Aidah Khenan ameshinda kupitia CHADEMA dhidi ya Kessy kule Nkasi Kaskazini. Sasa...
19 Reactions
244 Replies
21K Views
Wananchi wa Kawe wakichoma moto kura za maruhani zilizokuwa tayari zimeshapigwa kwa wagombea wa CCM. Mungu wabariki wananchi hawa
62 Reactions
388 Replies
44K Views
UTANGULIZI 1.1 Kwa mujibu wa ibara ya 145 na 146 Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Serikali za Mitaa ni vyombo vya haki na vyenye mamlaka ya kushiriki na kushirikisha wananchi katika...
2 Reactions
20 Replies
56K Views
Hakuna kitu kinauma duniani kama kugeuzwa mbuzi wa kafara. Walichofanyiwa Kessy na Ghasia huenda kikawa kichomi kimoja kibaya sana kwenye maisha yao yaliobaki hapa duniani. "Kwanini mimi...
17 Reactions
65 Replies
9K Views
Kuandaa maandamano ni fani kunahitaji mipango madhubuti, hata kama una ajenda muhimu huwezi kukurupuka na kutangaza leo au kesho kuna maandamano, Seif alikuwa na ajenda lakini hakuwa na mipango...
39 Reactions
256 Replies
19K Views
UPDATES: 05:55 Asubuhi: Viongozi wa vyama vya ACT na CHADEMA wakiongozwa na Freeman Mbowe, Tundu Lissu na Zitto Kabwe wanaingia kwenye ukumbi ambapo watafanya mkutano na waandishi wa habari...
37 Reactions
336 Replies
35K Views
Nilitegemea hadi muda huu mmeshaitisha press conference kuelezea kinachojiri kuliko kila mtu kulia kivyake, Ester Bulaya analia kivyake, Heche analia kivyake, Zitto kivyake na Lema kivyake...
14 Reactions
116 Replies
9K Views
Kutoka CCM: January Makamba Ummy Mwalimu Jenister Mhagama Anjela Kairuki Dr. Faustine Ndungulile Nnape Nnauye Kangi Lugola Antony Mavunde Tulia Ackson Hamis Kigwangala Abood Shabiby Anna Kilango...
3 Reactions
37 Replies
7K Views
Rais Mteule wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi Novemba 2, 2020 ataapishwa kuwa Rais wa awamu ya nane wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Sherehe hiyo itafanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Upinzani ni jicho la pili la Serikali, hii ni kauli iliyotolewa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro mama Anna Mgwihra alipokuwa anahojiwa na shirika la Taifa TBC mapema Leo alipotakiwa kuzungumza...
48 Reactions
78 Replies
7K Views
Uchaguzi wa Jana ni zaidi ya vituko. Tujikumbushe kidogo 1995 kwenye uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi baada ya sote baada ya ushauri wa baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kukubaliana tuwe na mfumo...
21 Reactions
43 Replies
5K Views
Wakuu habari za muda huu! Tukiwa tunapokea matokeo kutoka sehemu mbalimbali ya Tanzania, ikionyesha CCM inashinda kila mahali kwa kura nyingi sana. Mimi ni kijana nilizaliwa (1995) nilikuta...
8 Reactions
44 Replies
5K Views
Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha...
17 Reactions
118 Replies
12K Views
Hatimae chama pendwa cha CHADEMA kimepata mbunge mmoja mpaka sasa aitwae Aidah Kenani wa Nkasi kaskazini baada ya kumuangusha Bwana Ally Keissy, mbunge machachari kwa kutetea hata upuuzi wa chama...
25 Reactions
181 Replies
25K Views
Kuna usemi maarufu wa Kiswahili unasema, ¨siku ya kifo cha nyani, miti yote huteleza ¨ usemi huu una anza kuakisi ukweli wa siasa za vyama vya upinzani Tanzania na anguko lake kuelekea uchaguzi...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom