Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna mambo yanaweza yakawa hayako kwenye Katiba, lakini yakawekwa kuwa uratatibu unaokubalika. Kwa mfano, ni utaratibu wa CCM kumwachia Rais kutoka CCM kugombea awamu ya pili ya Urais bila...
3 Reactions
63 Replies
5K Views
Anaandika Leonce Marto wa CHADEMA kupitia mtandao wa Twitter: Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinataka kamati za kudumu za PAC na LAAC ziongozwe na wapinzani, CHADEMA...
54 Reactions
162 Replies
17K Views
Tunasikia CCM wanakutongoza ili uingie katika maridhiano na CCM , jambo hilo usjije ukalikubali hata sekunde ya sekunde, achana nalo mara moja, wamechukua serikali kwa nguvu, wameteka uchaguzi...
23 Reactions
85 Replies
7K Views
MBEYA NA IRINGA BADO NGOMA NGUMU Na, Robert Heriel Kama kuna majimbo ambayo CCM itahangaika sana ni pamoja na Iringa Mjini, Mbarali, Mbeya Mjini, na Tunduma Mjini. Kanda ya juu Kusini sasa...
17 Reactions
80 Replies
9K Views
Nasikia Donald Trump amekimbilia mahakamani kusitisha uhesabuji wa kura. Akiwa madarakani amekimbilia mahakamani, badala ya kwenda kwenye Tume ya Uchaguzi. Hapa kwetu Tanzania, balaa, mgombea...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Tarehe 28 Oktoba 2020 imekuja na kupita. Uchaguzi umefanyika na matokeo tumeyapata. Mwenye kushinda ameshinda, na mwenye kushindwa ameshindwa. Kilichopo sasa ni kukubali matokeo na kurudi kuchapa...
1 Reactions
1 Replies
675 Views
Jamii huwa inapata fedha zao kwenye mzunguko kupitia wenzao wenye ajira, kwakuwa wao hawana njia yoyote ya kupata hela kutoka hazina moja kwa moja. Serikali inatoa fedha hazina kuwalipa watumishi...
21 Reactions
78 Replies
7K Views
Those who watched the US presidential debate, just the other night, might have made a mental comparison of what Lissu applied for to be done just when he started his country tour; he requested a...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Niwapongeze wagosi kwa kuamua kutetea haki zao. Katika mikitano mingi ya wagombea wananchi wamekuwa na mwitikio chanya huku kilio kikubwa kikiwa kutelekezwa. Majimbo ya Tanga hayana maendeleo...
28 Reactions
151 Replies
10K Views
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akizungumza na Viongozi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) alipokutana nao leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Na Mwl, John Pambalu Mwaka 2015 baada ya uchaguzi uliompa ushindi Mhe. Magufuli. Aliyekuwa Mkt wa Chadema mkoa wa Geita na mgombea ubunge Jimbo la Busanda marehemu Alphonce Mawazo. Alipokea...
23 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwanza natoa pale kwa upinzani hasa CHADEMA kuwa uchaguzi huu sio kama 2015 ambapo kila mtanzania alikuwa amechoshwa na CCM. Na kila raia alikua tayari kwa lolote ikisubiriwa kauli tu kwamba sasa...
10 Reactions
78 Replies
6K Views
Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Aida Khenani akila kiapo bungeni jijini Dodoma, leo Jumanne Novemba 10, 2020. >>> Zaidi soma...
3 Reactions
35 Replies
7K Views
ZANZIBAR watu milioni 2 wabunge zaidi ya 40. DAR-ES-SALAAM watu milioni 6 wabunge 10. Vigezo gani huangaliwa kuweka idadi ya wabunge?
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Nasikitika kwa kusema repoti ya kitengo cha umoja wa mataifa kina fungua ukurasa mpya raisi wetu anaingia kwenye kundi la watawala waovu inasikitisha. Awamu ya pili ameanza Kwa mguu mbaya, sasa...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Wanabodi,Kwa wale waliosoma uchumi au ni wachumi wanafahamu hakuna kitu muhimu kwenye uchumi kama gharama au bei za bidhaa za vitu kuwa imara yaani "Price stability" Kwa kipindi cha miaka mitano...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Uchaguzi mkuu umepita, tumepata viongozi ambao tumewachagua na tunaamini kwamba misingi iliyowekwa na watangulizi na waasisi wa nchi itafuatwa! Nachelea kusema kwamba hii tabia ya kuchekelea...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kufafanua kwa umma kupitia vyombo vya habari kuhusu kauli ya...
11 Reactions
73 Replies
12K Views
Tunashukuru awamu ya tano kwa kuruhusu Bunge live Tena, tunashukuru kwamba gharama za matangazo ya Bunge live si kigezo Tena Cha kudhibiti Bunge Live. Ila kwanini media hazituelewi? Leo...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Uteuzi huo umefanywa na Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Ally Mwinyi kwa mujibu wa Katiba husika
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Back
Top Bottom