Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,347
- 6,471
Nasikia Donald Trump amekimbilia mahakamani kusitisha uhesabuji wa kura. Akiwa madarakani amekimbilia mahakamani, badala ya kwenda kwenye Tume ya Uchaguzi. Hapa kwetu Tanzania, balaa, mgombea haruhusiwi kukimbilia mahakamani wala Tume haitakiwi kuulizwa lolote juu ya Uchaguzi.
Hapa sio suala la ukomavu kidemokrasia, bali ustaarabu na u-smart upstairs.
Hapa sio suala la ukomavu kidemokrasia, bali ustaarabu na u-smart upstairs.