Tumehimizwa kuanza kuliona Bunge kwenye Vyombo vya Habari

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Tunashukuru awamu ya tano kwa kuruhusu Bunge live Tena, tunashukuru kwamba gharama za matangazo ya Bunge live si kigezo Tena Cha kudhibiti Bunge Live. Ila kwanini media hazituelewi?

Leo shamrashamra za kupatikana kwa spika 99.7% Dodoma hazijapewa kipaombele kwenye media hasa social media tatizo ni nini? Au atukuwaambia Kuna Jambo Dodoma? Nichukue fursa hii kuwaomba watanzania tuliopiga kura na kuwapa CCM ushindi wa kishindo tuendelee pia kusambaza taarifa za Yale wabunge wanayofanya Dodoma maana mkikaa kimya mkaruhusu wanaharakati na wapinzani kumiliki media na kupewa attention italeta picha tulibebwa.

Mhe. Ndugai kasema tusikilize na kuangalia live Bunge, tusimwangushe. Mkisusa mnawakwaza viongozi wetu tuwape moyo
 
Safari hii hatutakiwi kufanya kazi? Maana tuliambiwa bunge live linafanya watu wasichape kazi au TUME imemaliza kazi sasa ni kuvalishwa taji tu? Gharama za uendeshaji bunge sasa zipo? "Uchaguzi umekwisha, uchaguzi umekwisha, uchaguzi umekwisha" in Magu's voice. Tzania ya viwonder
 
Bunge la ccm hio live inawahusu wanaccm. Wapinzani wamechelewesha sana maendeleo sasa tutakimbia kimaendeleo kuzidi ulaya
 
Baada ya mhutu kulihutubia bunge na kulizindua, Polepole/Bashiru nao waende kulihutubia na kulipa mwongozo maana bunge hili upotolo lina sifa zote za kuitwa Halmashauri Kuu "B" ya CCM.
 
Back
Top Bottom