Uchaguzi 2020 Kumbe kuna hatari ya kukosa Trilioni 2 kutoka kwa Wahisani kutokana na Kasoro za Uchaguzi(?)

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
40,832
2,000
Anaandika Leonce Marto wa CHADEMA kupitia mtandao wa Twitter:

Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinataka kamati za kudumu za PAC na LAAC ziongozwe na wapinzani, CHADEMA hatupeleki Wabunge wa Viti Maalum na hatutaki kunajisi chombo hiki muhimu cha wananchi.

Mtakosa 2 Trillion za Donor Countries kwa nchi kukosa utawala Bora

Mengi yanakuja CCM jiandaeni.
 

Kijana wa jana

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
8,466
2,000
We fala hii nchi inazo pesa sasa hivi,hata uchaguzi ni pesa za ndani zimetumika. Tril 2 si kitu kwa Tanzania ya leo.
Sawa. Waacheni viongozi wetu msiwatishe au kuwahonga ili wateue wabunge viti maalum.

Si mna hela? Nini kinawahangaisha hadi mnataka kughushi saini za viongozi wetu ili tu muwateue kuhadaa ulimwengu kuwa wapinzani wamewakubali?
 

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
1,773
2,000
Sawa. Waacheni viongozi wetu msiwatishe au kuwahonga ili wateue wabunge viti maalum.
Si mna hela? Nini kinawahangaisha hadi mnataka kughushi saini za viongozi wetu ili tu muwateue kuhadaa ulimwengu kuwa wapinzani wamewakubali?
Nje ya mada nalogoff naenda kunywa kahawa kwa mzee Shomari.
 

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,198
2,000
Anaandika Leonce Marto wa CHADEMA kupitia mtandao wa twitter:

Kanuni za @bunge_tz zinataka kamati za kudumu za PAC na LAAC ziongozwe na wapinzani, CHADEMA hatupeleki Wabunge wa Viti maalum na hatutaki kunajisi chombo hiki muhimu cha wananchi. Mtakosa 2 trillion za donor countries kwa nchi kukosa utawala Bora! Mengi yanakuja CCM jiandaeni.
Ndugu yangu uko Tanzania ya wapi wewe bado unawaza misaada. Magufuli ameshaondoka huko. Tayari tuna viwanda viwili vya kuchengua dhahabu, mpaka sasa tunauza dhahabu safi siyo ghafi tena.Tuna dividend kila mwaka toka Barick, tumepata certificate ya bati yetu. Kifupi ni kwamba TANZANIA kwa sasa ni mafuta.
 

wagagagigi

JF-Expert Member
Dec 9, 2014
751
1,000
upinzani wa kuingia bungeni wanauunda kwa misingi yapi, walitakiwa wawape ubunge upinzani walio uunda toka wakati wa uchaguzi sio wakati huu
Wa viti maalum na wa kuteuliwa je? Hawa hawashindwi hata kuwatoa Wabunge wao ikiwa kutakuwa na maslahi yao! Kwani kuna alie salama kipindi hiki?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom