Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari wakuu. Baada ya kupokea meseji zenu zisizo na idadi na pia simu nyingi za kunisihi niseme neno kuhusu hii hali iliyojitokeza ya viongozi wa upinzani kuondoka nchini kwa madai ya kuepuka...
10 Reactions
39 Replies
3K Views
Kijana yatima kijijini aliyetamani kuoa alikuwa amekwama; hakuwa na uwezo wa mahari, achilia mbali pesa ya kuandaa harusi, na umri ndio ulikuwa unazidi kuyoyoma! Mawazo yalipomzidi akaamua kwenda...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) tawi la Zanzibar kimewasilisha ombi kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi kuzingatia usawa wa kijinsia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanzania's 'wasted' golden opportunity SEBASTIAN MRINDOKO THIS DAY Dar es Salaam A NEW report released yesterday has once again highlighted inherent problems in Tanzania's mining sector...
3 Reactions
32 Replies
7K Views
OHCHR | UN rights chief disturbed by harassment of opposition following Tanzania elections GENEVA (10 November 2020) – UN High Commissioner for Human Rights Michelle Bachelet on Tuesday said she...
22 Reactions
116 Replies
12K Views
Kwa uchungu mkubwa nawajulisha kuhusu msiba mkubwa tuliopata wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama na Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili Maalim Abubakar Khamis Bakar. Tangu walipompiga risasi chini ya...
19 Reactions
82 Replies
12K Views
Maisha baada ya matokeo ya Uchaguzi wa Tanzania 2020 yameleta gumzo na mjadala usiokua na dalii za kufika tamati. Dalili zote zinaonyesha kuwa chanzo cha marumbano na migogoro endelevu ya kisiasa...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Diwani mteule wa kata ya Kinuni iliyopo Zanzibar, Suleiman Mohamed Hassan amefariki dunia juzi na kufanya idadi ya madiwani waliofariki dunia baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28 kufikia wanne...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Huu ni uzi wa wazo yakinifu kwa fikra mrejeo, Kama mada inavyosema, watu walilaghaiwa wakalaghaika kwa ulaghai wa kilaghai mwisho wa sike mchumba kabebwa na ambaye aliwaangukia akikiri yeye ni...
1 Reactions
7 Replies
896 Views
Spika wa Bunge kahairisha Bunge sababu wabunge wengi wanataka kuongea na wapiga kura wao , wengine wanataka kununua nguo lakini wengine hawajapata bado sehemu za kulala...hivyo Bunge limeahirishwa...
3 Reactions
40 Replies
6K Views
Mnamo septemba 2015 Dr. Tulia Ackson alikuwa ametulia pale mlimani akifundisha sheria. Alikuwa "just a common citizen". Mara puuuuh! huyoooo amepaa. Kutokea Novemba 2015 Dr. Tulia hakutulia tena...
7 Reactions
52 Replies
4K Views
Wakuu, Hili ni bandiko la Pendekezo, 1. Inapendekezwa kwamba mtu yeyote atakayejitathimini kuwa na nafasi ya kugombea uongozi wa kisiasa itamkwe kwenye katiba na sheria husika ni sharti apimwe...
0 Reactions
2 Replies
863 Views
Na Christopher Mhando. Wanasiasa wa upinzani nchini wameshatekwa na kuwa corrupted na mabeberu kwa vipande vidogo vya fedha. Haihitaji kupiga ramli kutambua suala hili kwa sababu liko wazi...
9 Reactions
33 Replies
4K Views
Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema ni kweli ana tiketi ya ndege ya kuondoka nchini kwenda Ubelgiji Desemba 18, 2020. Amesema hayo kumjibu mgombea...
56 Reactions
246 Replies
26K Views
Katika taarifa yao waliyoitoa kwa Umma, shirika lisilo la kiserikali la Amnesty international linalojihusisha na haki za kibinadamu limeona uwezekano wa mamlaka za Kenya kulazimika kumrejesha...
18 Reactions
127 Replies
14K Views
Kwa uchungu na masikitiko makuu CCM imezipokea taarifa za mauaji ya mwenyekiti wa Uvccm vyuo vikuu mkoa wa Iringa komredi Mlelwa. Polepole amelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi haraka na...
9 Reactions
135 Replies
16K Views
Ndugu mheshimiwa, Kipindi Cha kampeni ulituahidi kuwa utapunguza Bei ya vifaa vya ujenzi ili hata Watanzania wenye kipato Cha chini tuweze kujenga. Tulishawishika na set zako na tukakuchagua kwa...
4 Reactions
92 Replies
7K Views
1. Vyama vyote vya upinzani unganeni muunde chama kimoja vunjeni vyote ubaki ushirika wa chama kimoja na kisiitwe chadema au cuf au act kitafutiwe jina lingine na hata bendera nyingine rangi na...
2 Reactions
2 Replies
729 Views
Kama inavyoonekana kwenye video hapo, wimbo huu umekuwa ukileta hamasa kubwa sana kwa wananchi pale unapopigwa kwenye kampeni za mgombe Rais kupitia CHADEMA Mh. Tundu A. Lissu. Wimbo huu unatuma...
26 Reactions
41 Replies
6K Views
Sasa ni dhahiri kwamba kuna mpango umesukwa wa mauaji ya wanasiasa wa upinzani nchini Tanzania, wahanga wakuu ni kutoka CHADEMA na ACT-WAZALENDO, ushahidi uko wazi kabisa, lakini je mpango huu wa...
36 Reactions
165 Replies
13K Views
Back
Top Bottom