Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama UKUTA wakinywea na mwishowe kutokufanya hayo maandamano yao ambayo wamepanga kuyafanya hiyo tarehe 1 mwezi ujao, basi mheshimiwa MWENYE ENZI, MTUKUFU rais Magufuli atakuwa amepata ushindi...
46 Reactions
317 Replies
33K Views
Kwa kile kinachotokea sasa ninakubaliana asilimia 100% na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Tanzania kuwa kinachowatesa mataifa ya Marekani, Canada, Ujerumani na mengine ya Ulaya ni utajiri wa...
6 Reactions
55 Replies
3K Views
Mataifa yaliyo endelea na ambayo yamekuwa yakitufadhili kwenye sekta mbali mbali ya kumaendeleo yanazidi kutoa maoni yao juu ya matokeo ya uchaguzi wa Tanzania. Hii hapa ni picha iliyotolewa na...
11 Reactions
72 Replies
5K Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ametoa taarifa kwa vyombo vya habari kuwa chama hicho hakijapeleka orodha yoyote ya majina NEC kwa ajili ya uteuzi wa viti maalumu. Lakini NEC inahitaji majina...
27 Reactions
121 Replies
11K Views
TUONGEE KAMA WATANZANIA:- TUNDU LISU HISTORIA HII ITAKUJA KUMHUKUMU. Kuna tetesi kuwa Lissu atapata fursa ya kulihutubia bunge la Umoja wa Ulaya (EU). Lakini kuna tetesi pia kuwa Lisu ataendelea...
15 Reactions
191 Replies
16K Views
Kwa sasa anaeongea ni spika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na anasema kikatiba wabunge wanaotakiwa ni 393 jumla na waliopo ni 359 wakisubiri wabunge watano kutoka baraza la...
20 Reactions
332 Replies
33K Views
2016- Tamisemi ilihamia Ofisi ya Rais 2017- Manunuzi yote yalihamia ofisi ya Rais 2017- Mikataba yote ya ujenzi wa miradi mikubwa Right pointing backhand indexofisi ya Rais 2018- ATCL ikahamia...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
IS PRIME MINISTER MAJALIWA A MEMBER OF PARLIAMENT ELECTED FROM CONSTITUENCY? The Prime Minister Designate (Waziri Mkuu Mteule) of United Republic of Tanzania, Right Honourable, Majaliwa Kassim...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Mabibi na mabwana kumekuwa na kauli zenye mantiki tokea kwa Dk. Mwinyi rais wa sasa Zanzibar. Kauli kama hizi: 1. "CCM tuepuke kushangilia kiasi cha kuwaudhi wenzetu." 2. "Niko tayari kwa...
8 Reactions
40 Replies
5K Views
CCM nayo imepoteza katika uchaguzi huu, mshindi JPM tu Abu Kauthar Uchaguzi wa 2020 Tanzania umepita. Inasemekana Watanzania wameamua kukirejesha chama tawala, CCM kwa kishindo. Kishindo...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Katika Ufunguzi wa bunge uliofanywa Novemba 13, jijini Dodoma, Spika wa Bunge Job Ndugai amesema kikatiba bunge huwa na jumla ya wabunge 393. Waliokuwa bungeni katika ufunguzi walikuwa 359...
0 Reactions
4 Replies
996 Views
Nimeonelea badala ya mawazo ya kulaumu, kulalamika, kulaani…...nitoe mawazo ya kujenga angalau kujaribu kuepusha matatizo makubwa yanayoisogelea Tanzania. Ni matumaini yangu wakuu watayaona na...
1 Reactions
3 Replies
967 Views
  • Closed
Kama ambavyo uwezo na maajabu ya Mungu yamejidhihirisha katika tukio la Lissu kupigwa risasi na yote yaliyofuata baada ya hapo mpaka anakuja kugombea uraisi, ndivyo ambavyo uwezo na Mungu...
49 Reactions
102 Replies
10K Views
MWANASIASA Mkongwe Zanzibar, Baraka Mohamed Shamte, amemtaka kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe, kabla ya kudai kumefanyika maonevu na unyanyasaji, kwanza aileze dunia kiongozi gani wa chama...
0 Reactions
6 Replies
44K Views
Taarifa hii ya kusikitisha imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika , alipokuwa anaongea na Gazeti la Mwananchi . Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba wengi kati ya waliokamatwa wamepewa...
10 Reactions
40 Replies
4K Views
Tundu Lissu akihojiwa na redio Ujerumani DW anasema amepata simu za kutishiwa amani na ameamua kujificha kwenye makazi ya Balozi wa Ujerumani Anasema maisha yake yako hatarini na anajipanga...
45 Reactions
328 Replies
27K Views
Ni aina mpya ya siasa waliyoanzisha hawa Jamaa zetu CHADEMA baada ya kushindwa vibaya katika Uchaguzi mkuu, Kuikimbia Nchi na kuomba ukimbizi wa kisiasa.Sote tunajua sababu za wao kufanya hivyo...
22 Reactions
187 Replies
11K Views
Kwanza kabisa sikubali mchakato wa Uchaguzi wala matokeo! Ule haukuwa Uchaguzi bali uteuzi Pamoja na hayo, nashauri chama changu pendwa CHADEMA tumuache mbunge wetu wa Nkasi, Idah, anendeleena...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Wazanzibar mnaodhulumiwa, enyi mnaoonewa, mtume Muhammad alishafundisha, silaha ya muumini ni dua!. Amkeni usiku, Tajeni lile jina kuu la Mwenyezi Mungu ambalo mtume alifundisha kuwa ukiomba kwalo...
35 Reactions
78 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…