Mtazamo wa wazungu baada ya uchaguzi wa Tanzania

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Mataifa yaliyo endelea na ambayo yamekuwa yakitufadhili kwenye sekta mbali mbali ya kumaendeleo yanazidi kutoa maoni yao juu ya matokeo ya uchaguzi wa Tanzania.

Hii hapa ni picha iliyotolewa na mojawapo ya kutuo kikubwa cha habari nchini Ujerumani juu ya mustakabali wa viongozi wa vyama vya upinzani nchini kwetu.

Kama taifa tuna kitu cha kujifunza

20201113_051907.jpg
 
Huwa najiuliza Sana,waafrika waliopo katika vyombo vikubwa vya nje ni kwanini huwa wanaikandia Sana Africa utafikiri wao ndio wazungu au huwa wanashinikizwa.
 
Huwa najiuliza Sana,waafrika waliopo katika vyombo vikubwa vya nje ni kwanini huwa wanaikandia Sana Africa utafikiri wao ndio wazungu au huwa wanashinikizwa
Bcoz Afrika hakuna utawala bora
Trump kaibiwa matokeo huko kuna utawala bora,
Je? Umesikia wanaongelea kama africa
 
Huwa najiuliza Sana,waafrika waliopo katika vyombo vikubwa vya nje ni kwanini huwa wanaikandia Sana Africa utafikiri wao ndio wazungu au huwa wanashinikizwa
lisemwalo lipo kwan wanaongea uongo
Ukiwa vyombo vya ndani huwez sema hivi....
 
Huwa najiuliza Sana,waafrika waliopo katika vyombo vikubwa vya nje ni kwanini huwa wanaikandia Sana Africa utafikiri wao ndio wazungu au huwa wanashinikizwa
Hivi hapo wamekandia kitu gani zaidi ya kuelezea ukweli?
 
Hahhahaha... Bavicha!

Hivi mzungu ndio nani?

Kwanza hiyo katuni imechorwa na jamaa mtz anaitwa Gado anakaa hapo Kenya
 
Back
Top Bottom