Rais Magufuli awateua Dkt. Mpango kuwa Waziri wa Fedha na Prof. Kabudi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
16,248
2,000
Ndugu zangu,

Kazi imeanza kama ifuatavyo

14613F6A-378B-42A1-98E7-B24D029565E6.jpeg
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,363
2,000
Hongera zao!

Kwa kuwajulisha history vijana wetu ya Wizara hiyo

Mpaka sasa Dr Mpango ndio Waziri alieshika Wadhifa huo kwa muda mrefu zaid mfululizo tangu tupate uhuru

Waziri wa fedha wa kwanza Mzawa ni Hayati Paul Bomani

Waziri wa fedha wa kwanza kujiuzulu/kufukuzwa kwa kutokubaliana na Bosi wake kimsimamo ni Mzee Edwin Mtei

Aliekaa muda mfupi zaid ni Luteni Kanali mstaafu Jakaya Kikwete

Walioshika wadhifa huo kwa vipindi tofauti kwa maana ya kuingia na kutoka na kurejea tena ni Cleopa David Msuya na Prof Kighoma Malima na Amir Jamal alieongoza kwa vipindi tofauti vitatu

Waziri wa Fedha alieshika wadhifa huo chini ya Marais wawili tofauti ni Msuya na Prof Malima, alikuwa Waziri wa Mwisho wa Mwl Nyerere na Mzee Ally Hassan Mwinyi

Zakia Hamdan Meghji ndio Waziri wa fedha wa kwanza Mwanamke hapa nchini

Mawaziri waliofariki wakiwa bado ni mawaziri wa fedha ni Steven Kibona na Mh Mgimwa

Aliejiuzulu kwa tuhuma ya Wizi ni Prof Simon Mbilinyi

Basil Mramba ndio Waziri wa fedha wa kwanza kupatikana na hatia ya ubadhirifu Mahakamani na kufungwa gerezani

Itafuata Wizara ya Ulinzi bila shaka kama style hii ya kutangaza kidogo kidogo itaendelea
 
Lady Ra

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
864
1,000
Hongera zao!

Kwa kuwajulisha history vijana wetu ya Wizara hiyo

Mpaka sasa Dr Mpango ndio Waziri alieshika Wadhifa huo kwa muda mrefu zaid mfululizo tangu tupate uhuru

Waziri wa fedha wa kwanza Mzawa ni Hayati Paul Bomani

Waziri wa fedha wa kwanza kujiuzulu/kufukuzwa kwa kutokubaliana na Bosi wake kimsimamo ni Mzee Edwin Mtei

Aliekaa muda mfupi zaid ni Luteni Kanali mstaafu Jakaya Kikwete

Walioshika wadhifa huo kwa vipindi tofauti kwa maana ya kuingia na kutoka na kurejea tena ni Cleopa David Msuya na Prof Kighoma Malima

Waziri wa Fedha alieshika wadhifa huo chini ya Marais wawili tofauti ni Prof Malima, alikuwa Waziri wa Mwisho wa Mwl Nyerere na Mzee Ally Hassan Mwinyi

Zakia Hamdan Meghji ndio Waziri wa fedha wa kwanza Mwanamke hapa nchini

Mawaziri waliofariki wakiwa bado ni mawaziri wa fedha ni Steven Kibona na Mh Mgimwa

Aliejiuzulu kwa tuhuma ya Wizi ni Prof Simon Mbilinyi

Basil Mramba ndio Waziri wa fedha wa kwanza kupatikana na hatia ya ubadhirifu Mahakamani na kufungwa gerezaniItafuata Wizara ya Ulinzi bila shaka kama style hii ya kutangaza kidogo kidogo itaendelea
Aisee
 
Babeli

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
5,976
2,000
Nothing new.

Huyo Kabudi ajiandae kwenda kujibu maswali ya mabeberu kwa ule utapeli mliofanya kwenye sanduku la kura.
Mbona hamuwaulizi mawakala wenu mliowaamini wawalindie kura..kwa sababu wao ndio walikuwa wanayaangalia hayo masanduku..jomba..mnaweweseka sana..msiwachukulie poa watanzania..hahahahha..mtaweweseka mpaka mtakapoenda kaburini hamtapata majibu ya kwa Nini watanzania waliwachinja vile
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
13,621
2,000
Hongera zao!

Kwa kuwajulisha history vijana wetu ya Wizara hiyo

Mpaka sasa Dr Mpango ndio Waziri alieshika Wadhifa huo kwa muda mrefu zaid mfululizo tangu tupate uhuru

Waziri wa fedha wa kwanza Mzawa ni Hayati Paul Bomani

Waziri wa fedha wa kwanza kujiuzulu/kufukuzwa kwa kutokubaliana na Bosi wake kimsimamo ni Mzee Edwin Mtei

Aliekaa muda mfupi zaid ni Luteni Kanali mstaafu Jakaya Kikwete

Walioshika wadhifa huo kwa vipindi tofauti kwa maana ya kuingia na kutoka na kurejea tena ni Cleopa David Msuya na Prof Kighoma Malima

Waziri wa Fedha alieshika wadhifa huo chini ya Marais wawili tofauti ni Prof Malima, alikuwa Waziri wa Mwisho wa Mwl Nyerere na Mzee Ally Hassan Mwinyi

Zakia Hamdan Meghji ndio Waziri wa fedha wa kwanza Mwanamke hapa nchini

Mawaziri waliofariki wakiwa bado ni mawaziri wa fedha ni Steven Kibona na Mh Mgimwa

Aliejiuzulu kwa tuhuma ya Wizi ni Prof Simon Mbilinyi

Basil Mramba ndio Waziri wa fedha wa kwanza kupatikana na hatia ya ubadhirifu Mahakamani na kufungwa gerezaniItafuata Wizara ya Ulinzi bila shaka kama style hii ya kutangaza kidogo kidogo itaendelea
Safi kabisa! Umetuelimisha mkubwa, bavicha wao wanajua ICC tu
 
Proved

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,077

Aisee... tusubiri Baba Askofu Gwajima atapewa wizara gani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom