Huku mitandaoni sasa kumeshakuwa ni sehemu ya uhalisia mbadala [alternate reality].
Ukiishi huku utaambiwa na kuaminishwa kuwa huku uraiani sasa hivi hakukaliki. Utaaminishwa [na kama ukiwa...
Huu sasa ndio muelekeo kwenye Taifa moja katika Bara fulani ambako kuna chama fulani cha siasa sasa kimebaki chama siasa jina tu, ila kiuhalisia chama hicho kimegeuka kikundi cha watu wachache...
WAZIRI MKUU- HUDUMA YA UMEME KUVIFIKIA VIJIJI VYOTE NCHINI:
Waziri mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli imedhamiria kufikisha huduma ya umeme katika vijiji...
Democracy,Magufocracy or Lootocracy?
Onyo:Nimepona.Kama una hasira usisome post hii.İnaweza kukuchochea hasira zaidi.Najadili Rais Magufuli Kulipwa zaidi ya Shilingi Milioni 422 kwa mwaka wakati...
Kwamba raia ni kigeugeu, na kwamba pamoja na udidimiaji wa wazi wa haki za binadamu katika awamu hii, isipokuwa ikiwa Rais ataleta maendeleo makubwa katika kipindi chake, watu watasahau maovu yote...
Mkurugenzi wa Meatu mkoani Simiyu amechomewa nyumba yake usiku wa kuamkia leo.
Nyumba yote imechomwa na vitu vyote vilivyomo ndani.
RPC wa Simiyu, ACP Richard Abwao amesema kwenye nyumba...
WanaJF, Salaam!
Nimeandika machache tu kuhusu nchi zenye rekodi ya ukosoaji na ufuatiliaji wa masuala ya uchaguzi na matokeo yake barani Africa ikiwemo Tanzania.
Jumuiya za kimataifa zinapaswa...
Unajua wakati mwingine mtu unaweza kuishi na watu sehemu moja lakini vitu mnavyoviona vikawa ni tofauti kabisa kati yako na wao.
Hizi habari za kwamba eti sasa hali [ya kiuchumi] ni mbaya kwa...
Naomba nikwambie jambo moja lenye umuhimu wa kipekee na kwa kifupi sana nitalitolea ufafanuzi.
Kwa haya yanayoendelea sasa na ukichunguza kwa umakini yale ambayo yamekuwa yanatokea nchini kwa...
Nikiwa mmoja wa maripota wa Kampeni za Tundu Lissu humu JF na kwingineko kuanzia mwanzo hadi mwisho na kwa kadri ya umri nilionao na uzoefu wangu katika siasa za Tanzania na za kimataifa, Tundu...
Mabibi na mabwana hasa kwa wale walio wazalendo.
Kupigania haki na Uhuru ni mpambano endelevu. Anayedhani kuwa sasa mpambano huu umekwisha, ati kuwa tulioibiwa tumeridhia na sasa tuko kwenye...
Habari za huu ndani wanajamvi?
Bunge hili natafakari sana linaweza kuwa Bunge la Tanzania mpya au Bunge la Tanzania ya giza nene
Kwa sababu ni bunge lisilo na upinzani linaweza kuwa bunge la...
Wiki chache zimepita Tanzania imemaliza kufanya uchaguzi wake mkuu ambao umegubikwa na changamoto mbalimbali zikiwemo za wananchi kuumizwa na wengine kuuwawa kutokana na madhira ya kampeni...
Mh. Mnyika Katibu Mkuu CHADEMA, kwa sasa wajumbe wa Kamati kuu wanakuangalia kwa pande mbili, pande ya kwanza kukikosesha chama kupata ruzuku kwa kutopeleka majina ya wabunge viti maalum, upande...
Amani iwe nanyi!
Sasa ni rasmi, ICC imeitaarifu dunia kuhusu kupokea rasmi maombi ya uchunguzi dhidi ya Magufuli na serikali ya Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu na makosa dhidi ya...
Nimesikiliza hotuba nzuri ya Rais na kubaini kuwa Rais anayo nia njema ya kulipeleka mbele taifa letu. Kwa upande wa miundo mbinu ya watalii mahoteli ni muhimu sana yakaboreshwa kwa kuyawekea...
Kama wengi wetu tunavyokumbuka wakati JK anaingia madarakani 2005 alianza kwa kuwapeleka Mawaziri wateule kwenye SEMINA ELEKEZI "RETREAT" kule Hoteli ya kimataifa na ngazi ya nyota 5 NGURDOTO kwa...
Awali ya yote; Kidumu Chama cha Mapinduzi, Kidumu chama Tawala.
Niwape njia pekee ambayo wapinzani njaa wa Tanzania wanaweza kuiondoa CCM madarakani bila hata kubadili katiba wala kuwa na Tume...
Nimekuwa msaidizi katika moja ya kituo cha kupigia kura katika moja ya wilaya mkoani Mara.
Niliyoyaona ki ukweli yanatisha juu wizi wa kura. Kituo nilichosimamia kilikuwa mwambao wa ziwa...
Inasikitisha kwamba pamoja na chaguzi za mfumo wa vyama vingi zilizopita bado watu hamjalielewa somo badala yake mmekuwa mkirudia makosa yale yale kila baada ya miaka mitano.
inawezekana kweli...