Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 5,575
- 8,690
Awali ya yote; Kidumu Chama cha Mapinduzi, Kidumu chama Tawala.
Niwape njia pekee ambayo wapinzani njaa wa Tanzania wanaweza kuiondoa CCM madarakani bila hata kubadili katiba wala kuwa na Tume Huru ya uchaguzi.
Nimefikiria hii njia ambayo ni "Long term process" Sidhani kama wapinzani wetu wenye Tamaa kama zote wanaweza kuifanya.
Njia yenyewe ni upandikizaji wa wanachama watiifu wa upinzani ndani ya CCM ambao kwa mda mrefu watachangamana na chama tawala nia yao kuu ikiwa ni kufanya kazi na upinzani ambapo 'pengine' wakiaminiwa sana wanaweza wakawa nominated kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Urais kupitia Chama Dume(CCM) Ambao wenyewe wanashinda always.
Sasa endapo mpinzani 1 aliyeaminiwa na CCM akaupata urais (ndoto) anaweza akafanya Reformation ya kufa mtu kwenye katiba, Dola, Tume N.k
Ambapo atahakikisha pengine upinzani wanaionja ikulu kwenye uchaguzi utakaofanyika.
Ni hivo tu, na uzi tayari.