Bunge hili linaweza kuwa Bunge la Tanzania mpya au Bunge la Tanzania ya giza nene

maganjwa

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
2,774
2,297
Habari za huu ndani wanajamvi?

Bunge hili natafakari sana linaweza kuwa Bunge la Tanzania mpya au Bunge la Tanzania ya giza nene

Kwa sababu ni bunge lisilo na upinzani linaweza kuwa bunge la mfano kwa kuleta maendeleo kwa kasi kwa kuwa bajeti haitasumbua na hakuna kelele lakini pia linaweza kuwa Bunge la kuwapoteza watanzania kwa kuwa ni Bunge lisilo na changamoto ni ndiyo tu na kuwa mtia muhuri wa Serikali

Ni maoni yangu tu

Wanajamvi mnasemaje?
 
Tanzania ya sasa mamaa ai mamaa inawakawaka mamaa aii mama
20cc9da052c228b052f4c272041da74e.png
 
Back
Top Bottom