Nikiwa mmoja wa maripota wa Kampeni za Tundu Lissu humu JF na kwingineko kuanzia mwanzo hadi mwisho na kwa kadri ya umri nilionao na uzoefu wangu katika siasa za Tanzania na za kimataifa, Tundu...
Mabibi na mabwana hasa kwa wale walio wazalendo.
Kupigania haki na Uhuru ni mpambano endelevu. Anayedhani kuwa sasa mpambano huu umekwisha, ati kuwa tulioibiwa tumeridhia na sasa tuko kwenye...
Habari za huu ndani wanajamvi?
Bunge hili natafakari sana linaweza kuwa Bunge la Tanzania mpya au Bunge la Tanzania ya giza nene
Kwa sababu ni bunge lisilo na upinzani linaweza kuwa bunge la...
Wiki chache zimepita Tanzania imemaliza kufanya uchaguzi wake mkuu ambao umegubikwa na changamoto mbalimbali zikiwemo za wananchi kuumizwa na wengine kuuwawa kutokana na madhira ya kampeni...
Mh. Mnyika Katibu Mkuu CHADEMA, kwa sasa wajumbe wa Kamati kuu wanakuangalia kwa pande mbili, pande ya kwanza kukikosesha chama kupata ruzuku kwa kutopeleka majina ya wabunge viti maalum, upande...
Amani iwe nanyi!
Sasa ni rasmi, ICC imeitaarifu dunia kuhusu kupokea rasmi maombi ya uchunguzi dhidi ya Magufuli na serikali ya Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu na makosa dhidi ya...
Nimesikiliza hotuba nzuri ya Rais na kubaini kuwa Rais anayo nia njema ya kulipeleka mbele taifa letu. Kwa upande wa miundo mbinu ya watalii mahoteli ni muhimu sana yakaboreshwa kwa kuyawekea...
Kama wengi wetu tunavyokumbuka wakati JK anaingia madarakani 2005 alianza kwa kuwapeleka Mawaziri wateule kwenye SEMINA ELEKEZI "RETREAT" kule Hoteli ya kimataifa na ngazi ya nyota 5 NGURDOTO kwa...
Awali ya yote; Kidumu Chama cha Mapinduzi, Kidumu chama Tawala.
Niwape njia pekee ambayo wapinzani njaa wa Tanzania wanaweza kuiondoa CCM madarakani bila hata kubadili katiba wala kuwa na Tume...
Nimekuwa msaidizi katika moja ya kituo cha kupigia kura katika moja ya wilaya mkoani Mara.
Niliyoyaona ki ukweli yanatisha juu wizi wa kura. Kituo nilichosimamia kilikuwa mwambao wa ziwa...
Inasikitisha kwamba pamoja na chaguzi za mfumo wa vyama vingi zilizopita bado watu hamjalielewa somo badala yake mmekuwa mkirudia makosa yale yale kila baada ya miaka mitano.
inawezekana kweli...
WAKAZI WA KOTA ZA UBUNGO WAMSUBIRI Boniface Jacob KWA MAWE NA MARUNGU
Na Mackdeo Shilinde
Ndugu zangu wa Ubungo nawasalimu katika jina la Bwana.
Binafsi mimi ni miongoni ya vijana ambao...
Ndugu zangu nchi yetu ipo uchumi wa kati kila Mtanzania anajua sasa napendekeza mikoa yote ipewe hadhi sawa ya kuwa jiji yaani kila mkoa uitwe jiji. Hii itafanya kila mkoa kupata mgawo wa...
Mambo yaliyosikika kutokea Meatu mkoani Simiyu na Liwale na maeneo mengine ya Mikoa ya Kusini yanasikitisha sana.
Ninaandika haya baada ya kushuhudia wananchi wa Lindi wakikitaja chama kimoja cha...
Wasalam,
Nasema hivi, safari hii Kessy atamjua na kumuona adui wake live bila chenga. Suala liko hivi; Dada Kenani msimamo wa CHADEMA uko wazi hawautambui uchaguzi tena, mbali zaidi wanaomba...
Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka huko Makambako, hii ni baada ya shughuli za kilichoitwa Uchaguzi mkuu kumalizika, ambapo wanachama na viongozi wa CHADEMA wa Jimbo hilo wameanza rasmi kuimarisha...
SAUTI ya Wanawake Wenye Ulemavu Tanzania (SWAUTA) na Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) wamekerwa na kitendo cha baadhi ya vyama vya siasa hasa upinzani kusita kupeleka bungeni wabunge wa viti...
atika Hali ya kawaida CHADEMA kabla ya kampeni ilikuwa na wabunge zaidi ya 50, wakati hata kabla Lissu hajaenda Ubelgiji.
Kabla ya ujio wa Lissu, CHADEMA ilikuwa kidooogo inaeleweka eleweka...
Kwa karne hii ya 21 yenye vizazi vya wasomi waliobobea katika nyanja mbalimbali hapa Tanzania hatuna mahakama ya kuhoji matokeo ya Urais ni aibu sana
Vinchi vidogo vidogo vyenye population ndogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.