Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Solomon pengo ambaye ni mdogo wake cardinal pengo anatoka sumbawanga jimbo la kwela, aligombea ubunge kwa ticket ya CCM mwaka 2010 na 2015. Katangaza kujiunga na TLP na atagombea ubunge kupitia...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwanafizikia mwenye asili ya Kiyahudi kutoka nchi ya Ujerumani, Albert Einstein aliwahi kusema, ''Upumbavu ni kuendelea kufanya vitu vile vile kwa njia zile zile na kutegemea kupata matokeo ya...
33 Reactions
123 Replies
10K Views
Mnakumbuka yaliyoendelea Zimbabwe au Somalia au Iran. Ni ukweli Haya majamaa yameiba kura yameua watu Zanzibar, lakini je hatua anazochukua Lisu na wapinzani za kutusema kule duniani je mnadhani...
16 Reactions
157 Replies
12K Views
UJENZI WA DARAJA LA JUU LA JANGWANI,KUOKOA MUDA NA FEDHA ZA WAKAZI WA WILAYA MBILI,KINONDONI NA UBUNGO. Leo 11:25hrs 15/11/2020 Daraja la juu la Jangwani lisasaidia kuepuka kutembea kwa miguu...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Je, maoni na mapendekezo ya nchi za Magharibi ni lazima tuyafuate katika kendeleza chumi zetu. Naamini lazima tubadilike ki muono na kutenda ili tuishi vyema. Kuna clip hapa itasaidia kujua...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Mhe. Tundu Lissu anasema miaka 5 inayokuja ya utawala wa JPM itakuwa miaka 5 migumu sana kwa wananchi wote wa kila chama na wasio na vyama. Akaongeza kuwa JPM ni mtawala katili asiyejali haki za...
21 Reactions
95 Replies
7K Views
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Albert Chalamila amemtaka Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara kuandaa kikao cha wadau wa Cement kujadili bei ya bidhaa hiyo. Chalamila amesema Mbeya wamefanikiwa...
1 Reactions
54 Replies
5K Views
Nasema acha aendelee kukaza shingo yake, yeye yule anayejiona yuu mkuu na kuwadharau wakaao juu ya nchi. Nasema wacha washauri wake waendelee kumpigia makofi na vigeregere wakati wakijua fika ya...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Tunaweza kukataa na kupinga Ila dalili zote ziko bayana Taifa limemegeka kisiasa, kihisia, kimitazamo, na kivitendo. Kuna roho ya ubinafsi na majivuno inazidi kusimika mizizi katika taifa hili...
19 Reactions
203 Replies
12K Views
Akihojiwa na DW Jana mchambuzi nguli Generali Ulimwengu alisema kuwa data zote zilizotolewa na Rais Magufuli ni za kutiliwa shaka sana kwani zinakosa uhalali wa kisayansi. " Huwezi kukubali kuwa...
41 Reactions
168 Replies
16K Views
Nimesikia Mkoa wa Kagera umezawadiwa kuhusu utekelezaji wa mradi wa anwani za makazi mwaka huu nikapata hamasa kutoa maoni yangu kuhusu umuhimu wa kukamilisha mradi huu nchi nzima kwa haraka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huku mitandaoni sasa kumeshakuwa ni sehemu ya uhalisia mbadala [alternate reality]. Ukiishi huku utaambiwa na kuaminishwa kuwa huku uraiani sasa hivi hakukaliki. Utaaminishwa [na kama ukiwa...
71 Reactions
321 Replies
34K Views
Huu sasa ndio muelekeo kwenye Taifa moja katika Bara fulani ambako kuna chama fulani cha siasa sasa kimebaki chama siasa jina tu, ila kiuhalisia chama hicho kimegeuka kikundi cha watu wachache...
35 Reactions
46 Replies
5K Views
WAZIRI MKUU- HUDUMA YA UMEME KUVIFIKIA VIJIJI VYOTE NCHINI: Waziri mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli imedhamiria kufikisha huduma ya umeme katika vijiji...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Democracy,Magufocracy or Lootocracy? Onyo:Nimepona.Kama una hasira usisome post hii.İnaweza kukuchochea hasira zaidi.Najadili Rais Magufuli Kulipwa zaidi ya Shilingi Milioni 422 kwa mwaka wakati...
33 Reactions
351 Replies
28K Views
Kwamba raia ni kigeugeu, na kwamba pamoja na udidimiaji wa wazi wa haki za binadamu katika awamu hii, isipokuwa ikiwa Rais ataleta maendeleo makubwa katika kipindi chake, watu watasahau maovu yote...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Meatu mkoani Simiyu amechomewa nyumba yake usiku wa kuamkia leo. Nyumba yote imechomwa na vitu vyote vilivyomo ndani. RPC wa Simiyu, ACP Richard Abwao amesema kwenye nyumba...
25 Reactions
271 Replies
31K Views
WanaJF, Salaam! Nimeandika machache tu kuhusu nchi zenye rekodi ya ukosoaji na ufuatiliaji wa masuala ya uchaguzi na matokeo yake barani Africa ikiwemo Tanzania. Jumuiya za kimataifa zinapaswa...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Unajua wakati mwingine mtu unaweza kuishi na watu sehemu moja lakini vitu mnavyoviona vikawa ni tofauti kabisa kati yako na wao. Hizi habari za kwamba eti sasa hali [ya kiuchumi] ni mbaya kwa...
51 Reactions
150 Replies
12K Views
Naomba nikwambie jambo moja lenye umuhimu wa kipekee na kwa kifupi sana nitalitolea ufafanuzi. Kwa haya yanayoendelea sasa na ukichunguza kwa umakini yale ambayo yamekuwa yanatokea nchini kwa...
6 Reactions
44 Replies
7K Views
Back
Top Bottom