Chupi ya mbuzi ni mkia wake mwenyewe, Tajiri na hela zake na maskini na watoto wake. Waliosema ukipenda boga penda na ua lake nahisi kuna kitu walikiona kwamba umuhimu wa boga lenyewe ndio...
1. HAPA KAZI TU.
Hapa kazi tu, bila kupumzika
" Hakuna kula
Hakuna malipo
Bila kulala nk
2. KAZI NA BATA
Neno la kihuni japokuwa kwa vijana wa kisasa, watasema kazi Starehe, kazi na kipato nk
3...
Mkurugenzi mtendaji wa JamiiForums amesema anashukuru sana kwa kuwa sasa ni mtu huru kutembea nje ya Dar-es-Salaam bila kizuizi chochote cha kisheria.
Awali alikuwa na zuio, ambalo lilikuwa...
CHADEMA na ACT-WAZALENDO: Hoja 7 Zinazowafanya Watanzania Wasiwe Tayari Kumwaga Damu kwa Kuandamana.
Vyama vya CHADEMA na ACT- Wazalendo vimekutana na kuwaambia waandishi wa habari eti kuanzia...
Hivi inawezekanaje Mtuhumiwa wa makosa yanayotokana na masuala ya Uchaguzi kufichwa na kukataliwa kuonana hata na jamaa zake hata baada ya "Walioshinda kwa kishindo" kuapishwa ? nini kinafichwa ...
Kauli ya daktari Mpango imenikumbusha enzi za mfumo wa chama kimoja cha siasa ambapo chama kilishika hatamu.
Wakati ule kiongozi aliweza kuongea neno lolote tena mahali popote bila kujali...
Wanasema kwamba mchawi akishakula nyama ya mtu huwa haachi.
Sasa watoto wa jirani wameliwa wote, na hili dude bado lina njaa, tumejiandaaje kuliwa ndani ya chama chetu? Tutapona?
Habari za leo wakubwa?
Kama tulivyoona kilichotokea Zanzibar maji kufuata mkondo. Je, itawezeka na huku Tanzania bara?
Kama tujuavyo uchaguzi ujao 2025 ni zamu ya upande wa dini nyingine kutoa...
"Polisi wanajibu hoja, kesho tunatarajia mahakama itatoa Amri ya kuachiwa Nasoro Mazurui. Sisi viongozi wa ACT- Wazalendo hatutalala hadi tuhakikishe viongozi wote waliokamatwa kwa hila...
Leo mbunge pekee wa kuchaguliwa kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia jimbo la Nkasi Kaskazini amefanya mahojiano na mwandishi wa idhaa ya Kiswahili ya DW, Deo Makomba na...
"Huna hakikisho la kuwa hapo kwa miaka mitano"
"Acha kudhani kuwa ni mwenye bahati kuliko wengine"
"Hata Mkeo nae ajiandae Kisaikolojia kama usipodumu hapo"
"Nilipokuwa naapishwa alinitumia...
Raisi akifikia muhula wake wa pili kulikuwa na mazoea ya wabunge na mawaziri kuanza kampeni mitandaoni nk na kutwa kushindana kuunda mitandao ya kujenga makundi ya kampeni ya kuutaka uraisi badala...
Nimemsikia aliyekuwa mgombea wa urais kupitia CHADEMA bwana Tundu Antipas Mughwayi Lisu akiongea kupitia Voice of America akimuomba Rais Magufuli aitishe muafaka wa kitaifa. Jambo hili nimelisikia...
Nakubaliana kabisa na Rais Magufuli kwamba kwa sasa wizara zisimamiwe na makatibu wakuu chini ya usimamizi wa Waziri mkuu mh Majaliwa.
Maswala ya ulinzi na usalama wa ndani yaendelee kusimamiwa...
1.Mama Samia Suluhu (59)
2.Dr.Hussen Mwinyi (53)
3.January Makamba (45)
Ipo wazi Magufuli lazima ataendelea kumalizia ngwe yake ya 2,ila kwa upande wa Zanzibar Mwaka ujao kama Rais hatakuwa Mama...
Hope mpo salama,
Katika tukio la kumuapisha waziri mkuu awamu ya tano kipindi Cha pili, moja Kati ya kauli za waziri mmoja alimpongeza mh Rais kwa hotuba bora ya karne wakati akizindua bunge...
Nimeshangazwa sana na hatua ya Rais Magufuli kuteua mawaziri wawili pekee na kudai kuwa uteuzi wa wizara nyingine utafuata baadaye.
Tulishuhudia katika kipindi chake cha awamu ya kwanza...
Nawasalimu ndugu zangu, huku kipekee kabisa nikipongeza ushindi wa JF kwenye baadhi ya kesi zinazoendelea huko! naamini tutashinda zote,
Ni wazi kuwa JamiiForums ni mahali salama kabisa kwasasa...
Solomon pengo ambaye ni mdogo wake cardinal pengo anatoka sumbawanga jimbo la kwela, aligombea ubunge kwa ticket ya CCM mwaka 2010 na 2015. Katangaza kujiunga na TLP na atagombea ubunge kupitia...
Mwanafizikia mwenye asili ya Kiyahudi kutoka nchi ya Ujerumani, Albert Einstein aliwahi kusema, ''Upumbavu ni kuendelea kufanya vitu vile vile kwa njia zile zile na kutegemea kupata matokeo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.