Afrika lazima iendelee kuwa masikini ili Mataifa mengine duniani yaweze kuishi vizuri

Gerald .M Magembe

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
2,496
1,797
Je, maoni na mapendekezo ya nchi za Magharibi ni lazima tuyafuate katika kendeleza chumi zetu.

Naamini lazima tubadilike ki muono na kutenda ili tuishi vyema.

Kuna clip hapa itasaidia kujua wenzatu wanatufikiria vipi tuweze au tunapaswa kuwa..

Karibuni.

Sikia ni ngumu dunia nzima kuwa na maendeleo
Japo wanasayans wanapambana kuhakikisha dunia nzima iwe na maendeleo lkn adi hilo liwezekane ni miaka million kwenda mbele kwa kipind hicho kaz nying zitakuwa zinafanywa na mashine na huyu anajiita jiwe itakuwa imebak mavumbi yupo mbingun anazabwa makofi kwa kujikweza na kujiona anaweza kuwa mkubwa wa malkia maana wote tunajua kiongozi wa malaika ni MUNGU sipati picha siku io
 
Na wewe utakuwa una sagwasagwa ama kokoto kwa kukosa uzalendo na kuwa kibaraka usie jitambua.
 
Nilijua lazima ukimbilie kusema kibaraka maana hio ndio pona yenu ili mkwepe hoja hoja yngu mm ni jamaa kutaka kuwa mkubwa wa malaika kutaka kuwa bora kuliko hata MUSSA hpn hii inakera
Nilikua naangalia mahojiano ya jamaa mwenye jamvia mlinzi wa Lisu,
Kumbe lile jamvia ni la kichawi
Inawezekana ndo lilikuwa linawaongezea watu kwenye mikutano, ambao ni misukule
 
Soma school of thought kisha uargue

JE HOTUBA ALIYOITOA RAISI TRUMP SEPTEMBER 2018 JUU YA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA NI MATUSI AU NDO UKWELI?

Ingawa Mimi ni mwanasiasa mdogo na sipendi upuuzi na uzandiki kwenye mambo ya msingi, Kuna post nilitumiwa ambayo imeandikwa kwa Kiingereza kuhusiana na hotuba aliyoitoa Raisi Trump Donald wa Marekani.

Nimeona niitafsiri kwa Kiswahili ili wengi tuweze kutoa maoni yetu kuhususiana na mtazamo wake juu ya bara letu la Afrika.
Kumbuka wakati huu karibu nchi 133 za dunia zimekutanika ikiwemo na Tanzania ambayo imewakilishwa na waziri wa mambo ya nchi za nje.

Haya ni mambo yaliyonukuliwa katika hotuba ya Raisi Trump akiongelea bara la Afrika. Naomba usome na utoe maoni yako. Akiwa anawasuta viongozi wa Afrika, Trump anahoji kwamba:
  • lkiwa sasa imefika miaka 50 ya uhuru na bado viongozi wengi wa Afrika wameshindwa kuwa na miundo mbinu thatbiti kwa ajili ya watu wao, je hao viongozi ni binadamu kweli?
  • Anaendelea kusema kuwa ikiwa ninyi viongozi mnakalia dhahabu, almasi, mafuta na uranium na watu wenu wanakosa chakula, je ninyi viongozi wa afrika ni watu kweli?
  • Kama mnakaa kwenye madaraka na kununua silaha kutoka kwa wageni na kuua watu wenu, je ninyi ni binadamu kweli?
  • Kama mnawaza kukaa madarakani mpaka mwisho wa maisha yetu, je ninyi ni binadamu kweli?
  • Ikiwa mnatumia maliasili ya nchi zenu kwa maendeleo ya familia zenu, je ninyi ni watu kweli?
  • lwapo hamjali kuweka miundo mbinu ya afya za watu wenu na badala yake mkiugua mnaenda kutibiwa nchi za nje, Je ninyi ni binadanu kweli?
  • Mtaheshimikaje katika mataifa yenu wakati mnapiga risasi raia wenu kama vile ni mchezo?
*Amemalizia kwa kusema kuwa viongozi wa Afrika wataendelea kuwa kama wanyama hadi watakapo badili mtazamo wao na kuheshimu watu wanaowaongoza.

NB: Hadi kufikia hapo, unadhani Rais Trump inatakiwa alaumie kutokana na tabia zake za kutukana waafrika, au labda anachosema ni kweli tukubaliane na yeye?

Una maoni gani kutokana na hotuba aliyoitoa huko kwenye kikao cha umoja wa mataifa? Hizi ni dharau za wazungu au kuna ukweli ndani yake?

Ujumbe huu umfikie #Kizimungala na team yake ya #Mataga pale Lumumba.
 
Attachments

  • Screenshot_20200525_004117.jpg
    Screenshot_20200525_004117.jpg
    89 KB · Views: 1
  • Screenshot_20200518_071225.jpg
    Screenshot_20200518_071225.jpg
    78.1 KB · Views: 1
Ukimsikiza vema Dr. Arikana aliekuwa Ambassador wa AU huko US; utapata kujua umasikini wa Afrika kwanza umesababishwa na wakoloni kutuvamia, pili kupata viongozi vibaraka wa kiafrika wanaofanya kazi kwa malipo ya mababeberu.

AU alimfuta kazi mteule wake kisa kawagusa wafaransa; hapo ndio utajua nchi nyingi za Afrika za ceremonial leaders controlled by former colonialists.
 
Sikia ni ngumu dunia nzima kuwa na maendeleo
Japo wanasayans wanapambana kuhakikisha dunia nzima iwe na maendeleo lkn adi hilo liwezekane ni miaka million kwenda mbele kwa kipind hicho kaz nying zitakuwa zinafanywa na mashine na huyu anajiita jiwe itakuwa imebak mavumbi yupo mbingun anazabwa makofi kwa kujikweza na kujiona anaweza kuwa mkubwa wa malkia maana wote tunajua kiongozi wa malaika ni MUNGU sipati picha siku io
Hiyo sentence ya mwisho huwa inanifanya ni muombe Mungu anipe Neema ya kuwa wa mwisho kwenye hukumu ili nione adhabu atakaye pewa bwana yule
 
Adui wa afrika ni afrika yenyewe hasa viongozi wake
Wengne tunawasingizia tu
Matendo mabaya wanayofanya viongozi wa africa kwa raia wao ni zaid ya yale ambayo wakoloni waliwafanyia mababu zetu zama za utumwa....
Kwa Tanzania mfano ni kawaida watu kutekwa, kuteswa, kupuligwa risasa na kuuwawa kwa kukosoa viongozi waliopo madarakani.....
Bora uwakosoe wakoloni kipindi kike kuliko kumkosoa magufuli....
 
Yani kuna watu wanajitoa ufahamu kabisa hasa misukule ya lumumba......
Matendo mabaya wanayofanya viongozi wa africa kwa raia wao ni zaid ya yale ambayo wakoloni waliwafanyia mababu zetu zama za utumwa....
Kwa Tanzania mfano ni kawaida watu kutekwa, kuteswa, kupuligwa risasa na kuuwawa kwa kukosoa viongozi waliopo madarakani.....
Bora uwakosoe wakoloni kipindi kike kuliko kumkosoa magufuli....
halafu utakutana na akina Pascal Mayalla Jane Lowassa YEHODAYA na mama D wakikuambia "huyo kutekwa ni halali yake kabisa, huwezi mtukuna rais"
Ukiwauliza rais katukanwa tusi gani ,watajibu "anasema ndege hazina faida,Mara rais katoa tenda kwa company ya Mme mwenza"
Je hayo ndio matusi?
 
Sikia ni ngumu dunia nzima kuwa na maendeleo
Japo wanasayans wanapambana kuhakikisha dunia nzima iwe na maendeleo lkn adi hilo liwezekane ni miaka million kwenda mbele kwa kipind hicho kaz nying zitakuwa zinafanywa na mashine na huyu anajiita jiwe itakuwa imebak mavumbi yupo mbingun anazabwa makofi kwa kujikweza na kujiona anaweza kuwa mkubwa wa malkia maana wote tunajua kiongozi wa malaika ni MUNGU sipati picha siku io
Hili swala ukipair na Strategic Thinking lilipaswa lijadiliwe kwa namna sahihi na vijana wa year 2 secondary.

Watanzania tunasoma ila hatufanyi application ya Elimu in real life. Na hii inatokana na nature/mfumo wa elimu tulionao.. Umejikita kwenye kutupa taarifa na often tunatakiwa kutumia taarifa na sio analysis ya hizi taarifa.

Mfano mzuri utaulizwa What is!? Define?! Mention, Describe, Briefly Explain... Maswali ya Why often hayataki students perspective na utajikuta yanaangukia kwenye all the mentioned above.. uelewa wa mwanafunzi sio questioned ila taarifa za mwalimu ndizo zinakuwa questioned kwa mfumo wetu wa elimu.

Matokeo yake yanakuwa haya.. hatuwezi kuona the third dimension thoughts...maana we are trained in two dimension environment..wakati ulimwengu halisi uko kwenye third dimension of another third dimension.

Katika Capitalistic world, lazima kuwe na mabwana na watwana.. haijalishi we live in the modern era or not.. kwa wenzetu the entire existence yao is based on this kuwe na sehemu wanaweza kupata cheap labour, cheap raw materials na markets.

Technological endeavors in modern world zote, Institutional strengthening zinafanyika kufacilitate hilo.. wao kupata cheap labour, raw materials and markets.

Na funny enough walichokifanya previously wanaendelea kukifanya hata leo.. bribe leaders, use influential people to undermine legitimate leadership, use Education to brainwash majority of people and if necessary use armies to conquer and put direct leadership (or puppets)

Hii yote boils down to one natural characteristic of Human and humanity.... "Survival for the fittest".. the powerful will always rule. :) Na ukitaka kuwa mkubwa lazima ujue utakumbana na misukosuko.

Europeans ni kama wamejeruhiwa... Chinese broke loose.. and immediately nchi nyingi za Asia zimeside naye that means alot if trade in Asia has been taken away... Aggressively China, India, Russia and Brazil are chewing the rest of the world and somehow that's affecting European way of life.

Macho yamebakia Afrika.. for countries like Tanzania to begin emancipation process is really adding fuel in the fire.. maana ikitokea Tanzania imefanikiwa somehow Tanzania itabidi ijipanue kwa kuongeza nchi inazofanya nazo mikataba ya kibiashara and that will continue diminishing markets for someone else.

Kwa njia yoyote the goal is to limit number of countries trying to take that upward swing. Vikwazo vya kiuchumi ni mwanzo tu.. ref. China.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
N
Kuna uzi wa Genta mahali ulisema unataka kupeleka mapendekezo yako Chadema siku ya kesho.

Nina maswali yangu matatu kule post no. 26 nahitaji majibu toka kwako.
Na amini nime kujibu, japo sijasikia kutoka kwako. Na nilipigizana kelele sana na mkuu kabisa kuhusu organisation behaviour yetu.

Pamoja na hayo nakutaka siku zote ujaribu sana uwe tolerant na wanaoweza kusema mapungufu ambavyo ni obvious. CHAMA NI CHETU SOTE WANAOCHANGIA PESA, WATOA MAONI, WANAOJITOLEA, NA HATA WANAOBEZA. Lengu ni kupata kura nyingi kuliko chama chochote kwenya chaguzi.
 
Back
Top Bottom