Zitto Kabwe: Kesho Mahakama inatoa amri ya kuachiwa Mazrui

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,335
"Polisi wanajibu hoja, kesho tunatarajia mahakama itatoa Amri ya kuachiwa Nasoro Mazurui. Sisi viongozi wa ACT- Wazalendo hatutalala hadi tuhakikishe viongozi wote waliokamatwa kwa hila wameachiliwa" Zitto Kabwe

Amenukuliwa Zitto kabwe kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo kupitia ukurasa rasmi wa Facebook wa ACT-Wazalendo.

Free Mazurui #freeall political prisoners

#kazi na bata

Update 1830 EAT
Nasoro Mazurui ameachiwa huru
 
Hakuna jambo baya kama kutengeneza filamu ambayo haujui mwisho wake, at the point ukiona waigizaji wengi wameumia au kufa unaamua kusitisha muendelezo na kusema ZE END!.
 
Sasa si aache Mahakama ifanye Kazi Mbona anaiingilia Inglia kidomodomo cha nini
 
Hawa kura wameshaiba na kumsimika kijana wa Mkuranga. Watu wamesurrender na maandamano yamezimwa. Mazrui si wamuachie tu sasa?
 
"Polisi wanajibu hoja, kesho tunatarajia mahakama itatoa Amri ya kuachiwa Nasoro Mazurui. Sisi viongozi wa ACT- Wazalendo hatutalala hadi tuhakikishe viongozi wote waliokamatwa kwa hila wameachiliwa" Zitto Kabwe

Amenukuliwa Zitto kabwe kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo kupitia ukurasa rasmi wa Facebook wa ACT-Wazalendo.

Free Mazurui #freeall political prisoners

#kazi na bata
mzee wa kazi na bata dawa yake anameza mdogomdogo 😂😂😂
 
"Polisi wanajibu hoja, kesho tunatarajia mahakama itatoa Amri ya kuachiwa Nasoro Mazurui. Sisi viongozi wa ACT- Wazalendo hatutalala hadi tuhakikishe viongozi wote waliokamatwa kwa hila wameachiliwa" Zitto Kabwe

Amenukuliwa Zitto kabwe kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo kupitia ukurasa rasmi wa Facebook wa ACT-Wazalendo.

Free Mazurui #freeall political prisoners

#kazi na bata
Wameshaachiwa!
 
Back
Top Bottom