Kauli ya " mke wangu ananipa raha" inaakisi mbwembwe za chama kushika hatamu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,957
141,945
Kauli ya daktari Mpango imenikumbusha enzi za mfumo wa chama kimoja cha siasa ambapo chama kilishika hatamu.

Wakati ule kiongozi aliweza kuongea neno lolote tena mahali popote bila kujali chochote kwa sababu chama kilimlinda.

Waziri mmoja aliwaambia wabunge " kalalamikeni kuzimu" na baadae waziri huyu akawa PM

Waziri mwingine akawaambia wabunge " kila mtu atabeba msalaba wake" naye akaja kuwa PM

Namshukuru sana Rais Magufuli kwa kuikemea kauli ya Dr Mpango pale pale hadharani, sisi wananchi tuliikataa Kazi na Bata na tumechagua Hapa Kazi Tu.

Maendeleo hayana vyama!
 
kama hujajenga kupitia hizi kampeni, hautajenga tena..
ww na mond huenda mkawa mmeingiza kipato sawa kupitia kampeni hizo.

hongera kwako kwakujua kuchungulia fursa mapema, mm najutia kwel kupitwa na mkwanja huu
 
kama hujahenga kupitia hizi kampeni, hautajenga tena..
ww na mond huenda mkawa mmeingiza kipato sawa kupitia jampeni hizo.

hongera kwako kwakujua kuchungulia fursa mapema, mm najutia kwel kupitwa na mkwanja huu
Mbona unaandika Kama unakimbizwa,au ndiyo kukosa pesa za kampeni
 
Sina hakika huko ccm mna furaha na amani kwa mazingira ya ushindi tata wa kishindo ambayo hayakuwa ya lazima. Rejeeni usia wa Mwalimu JK juu ya dhambi ya ubaguzi.
 
Sina hakika huko ccm mna furaha na amani kwa mazingira ya ushindi kishindo ambayo hayakuwa ya lazima. Rejeeni usia wa Mwalimu JK juu ya dhambi ya ubaguzi.
Ndio maana wanahangaika.
 
Bwashee mbna unaandika ujinga huu???umeshuka kweli kiwango au mwenyekit ameshakuchomoa akil??
Kauli ya daktari Mpango imenikumbusha enzi za mfumo wa chama kimoja cha siasa ambapo chama kilishika hatamu.

Wakati ule kiongozi aliweza kuongea neno lolote tena mahali popote bila kujali chochote kwa sababu chama kilimlinda.

Waziri mmoja aliwaambia wabunge " kalalamikeni kuzimu" na baadae waziri huyu akawa PM

Waziri mwingine akawaambia wabunge " kila mtu atabeba msalaba wake" naye akaja kuwa PM

Namshukuru sana Rais Magufuli kwa kuikemea kauli ya Dr Mpango pale pale hadharani, sisi wananchi tuliikataa Kazi na Bata na tumechagua Hapa Kazi Tu.

Maendeleo hayana vyama!
 
"Hapa kazi tu"
0659010.jpg
 
Back
Top Bottom