Mbunge wa Mtama mkoani Lindi mh. Nape Nnauye amewataka Wanasiasa na Wananchi kuwaheshimu viongozi kwani urais hutoka kwa Mungu.
Nape ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye aliomba...
Tanzania inahitaji chama kipya cha upinzani chenye sera mbadala za kueleweka za kudumu kwa wananchi sio za matukio.
Hivi vilivyopo hakuna hata kimoja chenye sera ya kudumu kinachoeleweka sera...
Mapema leo spika Bunge, Job Ndugai alizielezea kamati za bunge na kusema wataziunda bunge lijalo kwa sababu serikali itakuwa imeshatengenezwa, pia akaongelea vyama ambavyo bado havijaleta wabunge...
Wana JF.
Tangu uwepo ugonjwa wa Corona, mapambano ambayo NIMR imeyafanya , imejiongezea umaarufu na kujikutabinajulikana sana baada ya kutengeneza Tiba lishe mbali mbali kupambana na COVID19...
Jeshi la Polisi kisiwani Zanzibar Novemba 17 limemuachia naibu katibu mkuu wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui aliyekamatwa mjini Unguja Oktoba 28,2020 na watu wengine 32. Aidha...
Ni dhahiri Baraza la Mawaziri limeanza kuundwa
Wengine wanangojea PM ashauriane na Rais apate Baraza lililokamilika
Tayari kuna chawa na kunguni zipo kwenye nguo zinakula damu na kueneza...
Inasikitisha hakuna jitihada za kufanya utafiti kwenye Afya hasa chanjo na mambo mengine ya technologia. Nchi nyingi za Kiafrica zinawaachia kila kitu nchi za hao tunaowaita mabeberu kuanzia...
Fact 1: Cement imeadimika
Fact 2: Uhitaji wa cement uko juu, hii ni kutokana na kazi nyingi za maendeleo.
Fact 3: Kuna matatizo ya uzalishaji, tunasikia kiwanda cha Dangote hakizalishi.
Kwa...
Wana bodi,
Ni vyema kuona kwamba walio wengi wameisha vuka kigingi cha uchaguzi na kwa ambao hawaja vuka, ni muhimu kufanya tathmini na kutambua kwamba tofauti ya kura milioni kumi kati ya Mhe...
Yaani kwa sasa ni Chama kimeshika hatamu - pengine Wapinzani watapotezwa zaidi. Kila Mkuu mwenye Cheo - yaani awe Katibu Kata, Afisa Elimu Kata, Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi, Mkuu wa Polisi Wilaya...
Amekutana na maofisa, wafanyakazi pamoja na Mkurugenzi wao.
Amefurahishwa sana na namna JF inavyowahudumia wateja wake.
Mungu ibariki JF
======
BALOZI WA UINGEREZA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA...
Serikali Ya Awamu ya 5 inayoongozwa na Mzalendo Nambari 1 nchini Dkt John Pombe Magufuli Imeamua kutimiza ahadi yake kwa kishindo Mkoani Mara
Imegharamia mradi mkubwa wa Thamani ya Tsh Bilioni 70...
Hivi karibuni kumezuka taarifa za upotoshwaji zilizotolewa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Serikali ya Tanzania imemteua Bw. Salaah, Mkurugenzi wa Home Shopping Centre, (pichani ) kuwa Konseli...
The International Criminal Court (ICC) in The Hague, has confirmed receipt of two formal letters alleging human rights violations by the Tanzania government in the wake of the October 28 election...
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amewataka Mameneja wa Shirika la Umeme nchini TANESCO wa ngazi za Kanda, Mikoa na Wilaya kuhakikisha umeme haukatiki katika kipindi chote cha uchaguzi mkuu...
Mzee wangu Seif Sharif Hamad Unahitaji kujua swali kwanza kabla ya kujaribu kujibu, maana ukisha jua swali linauliza nini basi utakua umepata nusu ya Jibu.
Vinginevyo kila siku tutakua...
Akihojiwa na kituo cha habari cha Sauti ya Ujerumani, Jenerali ulimwengu amesema kuwa zoezi la uchaguzi mkuu halikuwa huru na haki na kwamba tangu mchakato wa upinzani uanze, wapinzani walitendewa...
Watanzania tumechoshwa na manyanyaso ya vyombo vya dola hasa polisi. Kila kukicha watu kupigwa risasi, kubambikiwa kesi na kuuliwa bila makosa.
Hatuoni hatua stahiki zinazochukuliwa au adhabu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.