Je, Ridhiwani Jakaya Kikwete anaweza kuwa Rais ajaye wa JMT?

kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
12,994
2,000
Habari za leo wakubwa?

Kama tulivyoona kilichotokea Zanzibar maji kufuata mkondo. Je, itawezeka na huku Tanzania bara?

Kama tujuavyo uchaguzi ujao 2025 ni zamu ya upande wa dini nyingine kutoa mgombea yaani (Muslims)

Nimekaa nimetafakari nikaona kabisa huku tunaweza kufanyiwa kama Zanzibar the next One ni Ridhiwani mtoto pendwa na maarafu wa mzee wetu Jakaya.

Je, ataweza kufikia hata robo ya utawala wa Baba yake? Njoo utoe maoni yako.

_10.jpeg
 

Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,354
2,000
24 hrs kwenye Siasa ni muda mrefu sana seuze 5 years from now!

Kikawaida japo si sheria Rais wetu mara nyingi huwa amehudumu kwny Serikal mbili tofauti kabla ya kuwa Rais

Mkapa alihudumu kwa Nyerere na Mwinyi

Jk alihudumu kwa Mwinyi na Mkapa

JPM alihudumu kwa Mkapa na Jk

Kama mazoea hayo yataendelea, tuwatazame watu walioanza wakati wa JK na wataendelea awamu na wasiwe above 60 kama muongozo mpya wa leo ulivyotoka

Kigwa, Mwigulu, January( kama atakuwepo this time) n.k
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom