johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,961
- 141,957
Nakubaliana kabisa na Rais Magufuli kwamba kwa sasa wizara zisimamiwe na makatibu wakuu chini ya usimamizi wa Waziri mkuu mh Majaliwa.
Maswala ya ulinzi na usalama wa ndani yaendelee kusimamiwa na CDF Mabeyo na IGP Sirro wanaoripoti moja kwa moja kwa Amiri jeshi mkuu.
Mambo muhimu ya Fedha na Uchumi na yale ya mahusiano ya kimataifa tayari Mawaziri Dr Mpango na Prof Kabudi wameshaapishwa.
Nina hakika kwa 98% baada ya miezi 3 hadi 6 Rais Magufuli akiamua kuunda baraza la Mawaziri basi litakuwa dogo kama ilivyo kwenye rasimu ya Tume ya Warioba ya katiba mpya.
Tunaweza kuwa na mawaziri na manaibu waziri wasiozidi 20 kwa ujumla wao.
Maendeleo hayana vyama!