Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mzee wa historia Bw.Ameir ambae ni miongoni mwa waathirika wa matukio ya Uchaguzi wa Oktoba 2020. Majeraha hayo yametokana na kipigo na mateso aliofanyiwa na vyombo vya Ulinzi wanaolipwa kwa...
16 Reactions
127 Replies
14K Views
Katika jitihada za kuondoa picha ya kuwa na Bunge la chama kimoja,na kuondoa dhana inayojengeka kwa kasi sasa kwamba demokrasia sasa imekufa, watachofanya hawa mabwana ni kutuletea kitu...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Katibu Tawala mstaafu wa mkoa wa Songwe David Kafulila yuko mubashara Clouds TV akielezea mafanikio ya awamu ya 5 chini ya Rais Magufuli na makandokando ya upinzani hususani CHADEMA na...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
WanaJF. Moja ya kazi ngumu Rais wetu aliyoifanya ni pamoja na kuifanya jamii kufanya biashara halali. Ilikuwa kazi mgumu kuwaondoa wafanyabiashara matapeli kwani walikuwa washirika wakubwa na...
17 Reactions
27 Replies
3K Views
Asilimia 99 ya Wabunge ni wa CCM najua jinsi gani mheshimiwa Rais unapata changamoto kuchagua Mawaziri. Mheshimiwa Rais wala usiwe na haraka. Chagua taratibu sana. Wapitie hawa wabunge mmoja...
0 Reactions
5 Replies
912 Views
Kwa kauli zake nadhani anamtafutia janga Rais na Watanzania wote kwa ujumla. Kama kauli hiyo haijatokana na msimamo wa pamoja wa Serikali, ambao nilitarajia utoke baada ya Kikao cha Baraza la...
14 Reactions
58 Replies
7K Views
Wakati umefika sasa tuwe tunawajua watu kwa majina pale wanapotumia ofisi za umma kihuni na kutesa watu bila huruma kwa kisingizio cha sheria. Suala la vijana viongozi wa BAVICHA (Nusrat na...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Imejaa mambo mengi sana ya kutimiza kwa miaka 5. Inatia mashaka kuwa huenda akaanzisha miradi mingi sana itakayolazimu aongezwe muda ili aikamilishe mwenyewe vizuri na kwa ubora kama...
12 Reactions
70 Replies
7K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa anatakiwa kuwa balozi ambaye pamoja na kufikiria jibu sahihi katika masuala yote yanayohusu nchi, majibu yanatakiwa kulinda heshima ya nchi yetu...
37 Reactions
103 Replies
10K Views
Msimu wa 2015-20 kulikuwa na wimbi kubwa la wabunge kuunga juhudi tukianzia kwa Mollel (Siha) Lijuakal (Kilombero), Ryoba (Serengeti), Masinji (KM), Issack karanga (Monduli), Silinde (momba)...
1 Reactions
2 Replies
998 Views
Jukwaa la msuguano wa akili na mawazo mbadala kwa kutoa sulushi kwa faida ya wote; Kwa sasa Tanzania ina maadui wengi sana kutoka miongoni mwa Wananchi wake na viongozi wa kisiasa. Maadui wa...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
BARUA YA WAZI KWA SHEIKH ALHAD MUSSA 16 Oktoba 2020 / 29 Safar 1442 Hijria Kwa Sheikh Alhad Mussa Salum Sheikh Mkuu wa Mkoa, Dar es Salaam. Asalaam alaykum, YAH: NASAHA ZA KIISLAMU KUFUATIA...
17 Reactions
43 Replies
8K Views
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli ameapa kupambana kwa kuwabomolea au kuwakomesha kwa njia nyingine, watu waliogoma kuhama kwa ajili ya kupisha miradi mbalimbali ya ujenzi inayotekelezwa na...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Nawakumbusha vijana hasa wale wa UVCCM waliogombea ubunge na udiwani na kufeli waendelee kuwa wabunifu na wasisubiri teuzi za Serikali. Rais Magufuli alishasema hatafanya teuzi mpya kwa sasa...
26 Reactions
79 Replies
6K Views
Kama ambavyo yule mama aliekuwa Mkurugenzi wa SSRA alivyoendolewa katika nafasi yake kutokana na issue ya kikokotoo, ndivyo hivyo Waziri wa Mambo ya Nje, Prof. Kabudi atavyoweza kuondolewa...
32 Reactions
160 Replies
16K Views
Sipendi kuwa mnafiki hata kidogo! Mungu aubariki umoja wa Ulaya EU. Ningepata nafasi ningepiga magoti mbele ya EU na kuwashukuru kwa jinsi walivyoisaidia nchi hii sina la kusema. Tatizo ni...
18 Reactions
34 Replies
4K Views
Salam kwenu wanajukwaa, Kwasasa jukwaani kumekuwa na mijadala mingi kuhusu EU,inashangaza kuona Watanzania wakifurahia ama wakiomba usiku na mchana nchi kuwekewa vikwazo, najiuliza hivi kweli...
20 Reactions
187 Replies
8K Views
EU wametoa hoja zao ambazo ni kukosekana demokrasia kwenye uchaguzi mkuu, polisi kuhujumu uchaguzi, na kupokea pesa za Corona wakati tulisema hatuna Corona. Hizi ndio hoja za EU ambazo kaka Msando...
13 Reactions
33 Replies
3K Views
Magufuli nae ameingia kwenye orodha ya walalamikaji wa CCM wanaoijia juu Chadema kuhusu maandamano wanayofanya akisema waache kutoa matusi kwenye mikutano na wanachochea chuki hivyo washindwe na...
0 Reactions
56 Replies
7K Views
Juzi tarehe 13. 11 Rais alitoa hotuba ya ufunguzi wa Bunge Dodoma na kuahidi kuimarisha na kushamirisha sekta binafsi nchini ili iweze kuchangia kwenye ukuaji wa uchumi. Mimi ninakubaliana na...
10 Reactions
126 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…