Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwanzoni Kabisa mwa Uchaguzi Bashiru Ally alinukuliwa akisema kuishinda ACT Wazalendo ni rahisi sana kuliko kuishinda CUF. CCM na CHADEMA au Kama CCM itajigawa ndio vyama vitakavyochuana miaka 20...
11 Reactions
65 Replies
8K Views
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (African Court on Human and Peoples' Rights) ni Mahakama ya Kibara iliyoanzishwa na nchi za Afrika ili kulindaHaki za Binadamu na za mataifa barani humo...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Haya ya Halima Mdee kama hawakufukuzwa basi nakushauri Tundu Lissu anzisha chama. Nina imani Kwa risasi 16 hutatusaliti.
11 Reactions
42 Replies
4K Views
Katika agenda tisa zilizosababisha kuundwa kwa tume ya kusaka maoni ya maridhiano, mradi ukipewa jina la Mpango wa Kujenga Daraja, yaani Building Bridge Initiative (BBI) Kenya, nyingi zinaihusu na...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba tufanye tathimini isiyo rasimi kupitia mtandao huu wa JamiiForums juu ya namna gani wananchi wanawachukulia wanasiasa wa kizazi cha leo kuwalinganisha na wale wa kiza cha Mwalimu Nyerere...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Haiingii akilini eti mtumie kura zetu tulizowapa kwa jasho na damu mkashibishe matumbo yenu. Eleweni kuwa sisi tulishaapa kuwa katu hatutotambua kile kilicholetwa kama matokeo! Hatutatambua watu...
27 Reactions
119 Replies
8K Views
Huwezi kupinga kuwa ni kiongozi ambaye kasaidia chama kwa kiwango kikubwa. Kashifa za kukosa uadilifu zidi yake ni za kitambo na muda umefika wa yeye kuchunguzwa. Watu wenye upeo mkubwa wa...
7 Reactions
104 Replies
12K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amekemea vitendo vinavyofanywa na baadhi ya watu wasiowahaminifu kwa kuhujumu miundombinu ya reli jambo ambalo linaiingizia serikali hasara kubwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natabiri kifo Cha CCM kitatokana na dola kutumba macho. Chama Cha siasa kisichokuwa na wanasiasa kimekufa. CCM inakimbia kwa kasi ya ajabu sana kuikumbatia dola na kuachana kabisa na siasa...
8 Reactions
11 Replies
1K Views
Kati ya awamu zote ni awamu hii ndiyo vijana wengi wasio na ajira za kuaminika wamepata ajira kwa kupambana na serikali. Vijana wengi wa Chadema wamepata ajira nzuri na kubwa serikalini jambalo...
0 Reactions
2 Replies
860 Views
Tukubali kwamba nchi au wanamikakati wa siasa za Tanzania waliopo Sasa wamekosa mikakati. Tukubali kwamba dola imekwama sehemu katika kuplan na kutekeleza mikakati yao. Tukubali kwamba wasomi...
11 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama kuna habari mnataka isiwafikie Watanzania ni bora kipindi kizima mkaachana nacho badala ya kuonyesha zile mnazozipenda na kuzima tusione zile msizozipenda. Ni hayo tu kwa uchache. Maendeleo...
11 Reactions
88 Replies
9K Views
Baada ya jana wabunge wa viti maalum kuapishwa, waandishi wa habari walifanikiwa kufanya mahojiano madogo na mbunge mmojawapo, Ester Matiko huku wengine wakigoma. Yafuatayo ni maswali kutoka kwa...
9 Reactions
154 Replies
17K Views
Alianza kwenye kupata wajumbe wa bunge la katiba . akamfunga mdomo Tundu Lissu akasema funika kombe mwanaharamu apite. raisi akateua wajumbe 201. baaadae CHADEMA ikaachwa solemba CCM wakafanya...
6 Reactions
69 Replies
10K Views
Viongozi CHADEMA mmepambana na changamoto kubwa sana kutoka utawala huu wa CCM,endeleeni kufanya maamuzi sahihi kwa maslahi ya chama. Sijawahi kuchukizwa kwa maamuzi mbalimbali mliyoyafanya kwa...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Nilisema nini? Nilisema kuwa CHADEMA has lost the plot! Wengine tukisemaga mnatuchukuliaga poa sana. Kwa mlio na akili, kama deep down hamkielewi ambacho baadhi yetu tumekuwa tukikisema, basi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hapa kuna mambo yaliyopo nyumba ya pazia ambayo yamewapata hawa akina Mdee, Bulaya na Matiko. Lakini hakuna hata mmoja aliyewawazia upande wa pili. Wote mnachezeshwa ngoma na CCM, mnawaaccuse...
4 Reactions
42 Replies
5K Views
Wakuu nawasalimu. Kitu kilichotokea kwa akina Halima Mdee siyo cha kushangaza. Ni mwendelezo wa matukio mengi tu ambayo yamekuwa kawaida siku hizi. Watu wanaotumia muda kufikiri, wakiwemo pia...
7 Reactions
4 Replies
886 Views
NANI WA KUMPUUZA, WALIOPISHWA AU WASHIRIKA WA NCHI ISTAWALIKE? Na Elius Ndabila 0768239284 Ni kweli kuwa jana tumeshuhudia Wabunge 12 wa viti maalumu kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo...
0 Reactions
5 Replies
838 Views
Tumeona mtafaruku na mtifuano kwenye Social Media mara tu baada ya wale wanaodaiwa wabunge wa viti maalumu kutoka chama cha CHADEMA kuapa mbele ya spika leo. Mara tu baada ya tukio hilo katibu...
2 Reactions
60 Replies
8K Views
Back
Top Bottom