Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 230
- 1,000
Kitendo cha Lissu kufanikiwa kuingia nchini na kugombea Urais na kisha kupata uungwaji mkono mkubwa kimegonga nyundo katika bongo za Wanasheria wasiozingatia maadili ya kazi yao na Sasa vijana wa UVCCM wanaandaa mkakati wakumdhibiti asiweze kugombea muhula ujao.
Moja ya mkakati uliopo nikuweka wazi kwenye katiba kuhusu itajio la mgombea urais kuishi nchini na si kuishi nje ya nchi. Mkakati huu unaelezwa kusukwa kupitia mabadiliko ya katiba na sheria huku ukienda mbali zaidi na kuwagusa hata wabunge.
Aidha, taarifa zinaeleza kuwa mfumo wa uanzishaji na uendeshaji wa vyama vya siasa unaangaliwa upya kuziba mianya ya wapinzani kupiti vyama vyao kusimama na kushinda uchaguzi.
Hoja kubwa inajikita katika kuimarisha chama tawala, kupunguza gharama za kuangaika na harakati za upinzani na kupunguza kwa asilimia kubwa gharama za uchaguzi.
Niwaombe Watanzania tujiandae, Lissu jiandae, Lema huko uliko anza kupiga jaramba urejee tupambane kushindana na ila hizi zinazochomoza.