Mpinzani wa kweli ni Augustino Lyatonga Mrema

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,949
141,929
Tangu ahamie upinzani akitokea CCM mzee Mrema hajawahi kuyumba wala kuyumbishwa.

Mzee Mrema ndio mpinzani wa kweli na siyo msaliti hata Tundu Lissu ameiga style yake ya kuunga mkono mgombea anayemkubali.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mzee Mrema ndio mpinzani wa kweli na siyo msaliti hata Tundu Lisu ameiga style yake ya kuunga mkono mgombea anayemkubali.

Maendeleo hayana vyama!
Umenena kweli mkuu.
2422391_2421853_1591649654319.png
 
Tangu ahamie upinzani akitokea CCM mzee Mrema hajawahi kuyumba wala kuyumbishwa.

Mzee Mrema ndio mpinzani wa kweli na siyo msaliti hata Tundu Lissu ameiga style yake ya kuunga mkono mgombea anayemkubali.

Maendeleo hayana vyama!
We bado yaani afisa kipeuo aliyefikia cheo cha DSO awe mpinzani , we mtoto una akili matope ? Muwe mnadoma sure kuuliza kwanza sio kukurupuka tu kutoka usingizini hapo Lumumba na kuandika utopolo .
 
Tangu ahamie upinzani akitokea CCM mzee Mrema hajawahi kuyumba wala kuyumbishwa.

Mzee Mrema ndio mpinzani wa kweli na siyo msaliti hata Tundu Lissu ameiga style yake ya kuunga mkono mgombea anayemkubali.

Maendeleo hayana vyama!
We bado yaani afisa kipeuo aliyefikia cheo cha DSO awe mpinzani , we mtoto una akili matope ? Muwe mnasoma au kuuliza kwanza sio kukurupuka tu kutoka usingizini hapo Lumumba na kuandika utopolo .
 
Hahahaaaa........ Bwashee umefura!

Kwani mzee Mtei mmiliki wa Chadema ni nani?!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom