Maskini Mashujaa wa CHADEMA!

Maskini Mashujaa wa CHADEMA!

Dr Shekilango

Senior Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
192
Reaction score
120
Hawa vijana wameishia wapi kesi yao ya maandamano na kukaidi amri ya alali ya mkuu wa wilaya vipi? Je, Rais wamekutana naye au wanakula bata Dar. Hawa kwanza ni wasaliti, walisawasaliti viongozi wenzao wa UKAWA kwa maana walishirikiana kuandaa safari wote mwisho wakajibebesha bendera ya CHADEMA. Lakini nawashangaa sana kipi kiliwafanya kuwa wanasiasa na kubeba bendera ya chama chao wakati dhumuni ilikuwa ni wanaharakati na mashujaa wa Taifa na siyo wa CHADEMA. Ujumbe wao wampa nani? walishauriwa wasiende kwa Rais ila wao na uroho wa kunywa juice Ikulu wameambulia nini sasa!!
 
Back
Top Bottom