Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Tulidanganywa kuwa anafanya service ya week mbili kumbe anakusanya virago vyake aondoke uwekezaji bongo umemshinda.

=====

Mahakama Kuu imezuia kufungwa kwa Kiwanda cha Dangote Cement Limited ambacho mdeni wake aliomba kifungwe.

Kampuni ya NSK Oil and Gas Limited ilitaka Kiwanda cha Dangote kifungwe kwa kushindwa kumlipa Tsh bilioni 5.8.

Mei 2018, Dangote na NSK Oil walikubaliana kuwa kampuni ya NSK impelekee mafuta Dangote. NSK alichukua mkopo wa Tsh 11.1 bilioni Standard Chartered Bank kama mtaji wa kufanya kazi hiyo.

Dangote alidaiwa kushindwa kulipa kama walivyokubaliana, hali iliyofanya Standard Chartered kuwashtaki ili walipe deni la Tsh 5.8 bilioni. Ambapo NSK aliiomba mahakama ifunge Kiwanda cha Dangote.

Dangote akaomba kisifungwe kwa kutumia Ibara ya 283 ya Sheria ya Kampuni ya 2002 ambayo inaruhusu kampuni kuomba kuzuia kufungwa muda wowote kabla amri ya kufungwa haijatoka.
===
Dar es Salaam. The High Court has blocked proceedings for winding up of Dangote Cement Limited instituted by NSK Oil and Gas Limited pending determination of a Sh5.8 billion suit Standard Chartered Bank has filed against the two companies.

NSK, suppliers of oil products, lubricants, and liquefied petroleum gas (LPG) has filed at the commercial division of the High Court a petition for the winding up of the cement producer over inability to settle a Sh5.8 billion debt.

The petition prompted Dangote to file an application at the same court in which it sought orders to halt the move pending determination of the case Standard Chartered has filed against them over an unsettled Sh5.8 billion overdraft facility.

Dangote then asked the court to halt the winding up proceedings including publication of the petition for winding up, arguing that the petition was premature and was filed in bad faith.

The company further argued that publication of the petition for its winding up would cause them irreparable reputational damage.

The dispute arose from an agreement Dangote entered with NSK Oil in May 2018 for the later to supply the former with fuel.


To facilitate smooth supply of the fuel, NSK Oil secure and obtained an overdraft to a limit of Sh11.1 billion from Standard Chartered Bank as a working capital.

As a security for the loan, NSK Oil assigned its debt in the performance of the agreement to the bank by a notice of assignment signed by both parties in the deal.

However, things did not go well between the bank, on one side, and Dangote and NSK Oil, on the other. Dangote allegedly failed to pay some money as agreed, forcing Standard Chartered bank to sue them to recover Sh5.8 billion debt.

While the Standard Chartered suit was pending in the commercial court, NSK Oil filed a winding up petition against Dangote over inability to pay Sh5.8 billion.

Dangote reacted immediately by filing an application at the same court, pleading with the court to stop the winding up petition because it has a direct bearing to a case Standard Chartered had sued them.

“…this petition is intended to threaten the applicant (Dangote) and was filed with mala fide intended to embarrass, ridicule, and inflict irreparable reputational damage to the applicant. “Entertaining the winding up petition will be tantamount to turning this court into debt collection agent,” argued lawyer for Dangote,” argued Dangote through its lawyer.

NSK Oil strongly opposed the application, saying the case Standard Chartered had filed against them had no bearing with the winding up petition

In his recent decision, High Court Judge Stephen Magoiga said Dangote was justified to defend her interests by opposing the winding up process.

“I am of the strong considered opinion the this winding up petition has a strong bearing to the Commercial Case No. 7 of 2020 ( the case Standard Chartered Bank is suing Dangote and NSK Oil, hence, the call to restrain is justifiable,” said the judge.

Section 283 of the Companies Act, 2002 allows a company or creditor to apply for orders to stop winding up petition at any time before winding up order has been made.

“The winding up of a company amounts to legally killing and burying of the company and our parliament in its wisdom by incorporating the provision of section 283 of the Companies Act was meant to protect the process where the circumstances are so demanding. In this application, I find this is one of the fit cases for this court to exercise its discretion,” said the judge.

Iko hivi kwenye habari hiyo: Kampuni ya Dangote, kama kampuni nyinginezo, iliingia mkataba wa kuletewa fuel na kampuni ya NSK. Katika kufanikisha hilo, kampuni ya NSK ikachukua mkopo kama mtaji kutoka benki ya Standard Chartered wa bilioni 11.1.

Baada ya kushindikana kulipwa kwa mkopo huo, Standard Chartered ikawashtaki NSK na Dangote. Kufuatia shauri hilo, na katika hali ya kujitetea, NSK akapeleka shauri la kufungwa (winding up) kwa kampuni ya Dangote kwa kushindwa kulipa deni lake kwa kampuni hiyo.

Naye Dangote akawasilisha Mahakamani hapohapo Ombi dogo la kusitisha kwa muda shauri la kufungwa kwa kampuni yake. Ombi lake dogo Dangote ndilo lililotolewa uamuzi kwa kusitisha shauri la kufungwa kwa kampuni yake. Ndiyo kusema, Dangote amefanikiwa kwenye maombi yake.

Kwa kifupi, Dangote ndiye anayepinga kufungwa kwa kampuni yake pamoja na deni linalodaiwa kuwepo dhidi ya kampuni ya NSK. Kwenye mashauri hayo yaliyoripotiwa na the Citizen hakuna mahali Dangote na kampuni yake wameonyesha nia ya kufungwa kwa kampuni hiyo na kuondoka nchini.

Ni vyema kusoma habari kwa makini kabla ya kuandika uelewa ambao wakati mwingine waweza kubeba picha ya kupotosha umma. Dangote ndiye aliyepinga kwa nguvu zake zote kufungwa kwa kampuni yake kwenye mashauri matatu yaliyopo Mahakama Kuu yakihusika kampuni yake, kampuni ya NSK na benki ya Standard Chartered.
20201203_185342.jpg


 
Hiyo ni habari nzuri sana kwa chadema leo watashangilia usiku kucha.
Lazima washangilie shida mnazowapa ndani ya nchi Yao wanashindwa kuwa marafiki wa adui wao? Simple logic adui wa adui yako ni rafiki yako CCM mmeifanya chadema kuwa adui Kuna kosa gani chadema wakiwa marafiki wa adui zenu? Iko wazi nyie mnafanya hujuma kwa upinzani mkijificha kwa mwamvuli wa uzalendo kwenu na wanaowapinga ni wasaliti wa taifa badala ya kuwa wasaliti wa CCM ambayo sio dhambi.
 
Tulidanganywa kuwa anafanya service ya week mbili kumbe anakusanya virago vyake aondoke uwekezaji bongo umemshindaView attachment 1640919

Dangote to test US$90 power plant for Mtwara cement factory​

Dangote to test US$90 power plant for Mtwara cement factory
17 October 2020


Dangote Cement will test run a new US$90m gas-fired power plant in Mtwara, Tanzania, later this month. The plant has been delayed with the outbreak of COVID-19, but it will supply the Mtwara cement plant and reduce Dangote Cement's reliance on coal imports.

The new power plant is due to be fully commissioned in November. The Mtwara plant has not operated at full capacity during 2020, but the new power plant should help energy efficiencies. "We have had mechanical failures of some main equipment in the first four months of the year, and our maintenance to sustain reliability delayed because of the late delivery of material needed for the maintenance of our kiln," said Mr Corcos, Dangote Tanzania country manager.

Published under Cement News11/10

Tagged Under: Dangote Cement Power Plant Tanzania COVID-19 coronavirus East Africa
 
Tulidanganywa kuwa anafanya service ya week mbili kumbe anakusanya virago vyake aondoke uwekezaji bongo umemshindaView attachment 1640919

Dangote to test US$90 power plant for Mtwara cement factory​

Dangote to test US$90 power plant for Mtwara cement factory
17 October 2020


Dangote Cement will test run a new US$90m gas-fired power plant in Mtwara, Tanzania, later this month. The plant has been delayed with the outbreak of COVID-19, but it will supply the Mtwara cement plant and reduce Dangote Cement's reliance on coal imports.

The new power plant is due to be fully commissioned in November. The Mtwara plant has not operated at full capacity during 2020, but the new power plant should help energy efficiencies. "We have had mechanical failures of some main equipment in the first four months of the year, and our maintenance to sustain reliability delayed because of the late delivery of material needed for the maintenance of our kiln," said Mr Corcos, Dangote Tanzania country manager.

Published under Cement News11/10

Tagged Under: Dangote Cement Power Plant Tanzania COVID-19 coronavirus East Africa
 
Back
Top Bottom