Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
98,201
2,000
Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.
FB_IMG_1552389461882.jpeg


In God we trust
 

bato

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
3,555
2,000
Tatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Kwa maoni yako JKT ni taasisi dhaifu,msilinganishe taasisi ya jeshi na vyama vya siasa!! Ila CDM nao wanajiita makamanda
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom